macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna clip moja anasema yeye analindwa na nguvu za ''kimungu'' na mtu akitaka kumdhuru, basi huyo mtu anadhurika kabla.Drama king 🤴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna clip moja anasema yeye analindwa na nguvu za ''kimungu'' na mtu akitaka kumdhuru, basi huyo mtu anadhurika kabla.Drama king 🤴
Inawezekana na yeye ndicho anakitaka
Basi kwa taarifa yako Gwajima ni mwoga sana. Tena sana.Dah....huyu jamaa ananifurahisha sana. Confidence 100%, Dharau 100%[emoji1544]
Magufuli na Mwakyembe waliwahi kukiri hayo pia
Serikali inamuendekeza Sana huyu....mpuuzi mmojaJamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu
Akizungumza story zake Jumapili nitaamini Gwajima kidumeGwaji boy!! [emoji91][emoji91][emoji91] Katika ubora wake! Watajuta kumfahamu. Jumapili ijayo, kama kawaida! Ni vijembe tu kwa kwenda mbele.
Anajifanya ana maarifa mengi..ameomba abadilishiwe kiti na microphone.
..mbona hajaomba kubadilishiwa meza?
MkuuCCM yangu plz plz, fukuzeni huyu mtu, fukuzaa plz, no one wanted this guy in CCM, isipokuwa Hayati Magu ndio alimtaka tu, sbb ya ukabila, CCM wala hakuwa mwanachama wa CCM huyu Pastor fake. Mnamchelewesha nn jamani, fukuza aaarrghrr
Unahisi kaogopa nini kukataa kiti na maiki?kwani bungeni nako atakua ameandaliwa kiti chake? si unakaa kiti chochote kile ambacho kiko wazi