Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Which means labda amefunuliwa kuwa kule bungeni kuna ugaidi wa kudhuru watu kwa kutumia vitu vilivyofichwa kwenye viti!
 
kuelekea 2025 huyu atawatesa sana ccm wasipokua makini
 
I like this boy...yuko unpredictable kuliko weather...stand your grounds mr bishop.
 
Hujui usemalo! Ni nani aliyempa huo ubunge, tena kwa mizengwe ya waziwazi na kupora kura? Sema jini walilofuga wenyewe limewageuka na kuanza kuwameza wao wenyewe.

kukata mzizi wa fitina ni kujibu hoja zake sio blaa blaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa ringtone
 
Sumu vs Virus. Sumu imechukuwa kombe. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza? Haya sasa kiko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…