Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Kwa mawazo yako, ila wew hujuwi tatizo lililopo kwa watawala wako. Ukikua utajuwa tu musee.Huyu ni mgonjwa wa akili si bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mawazo yako, ila wew hujuwi tatizo lililopo kwa watawala wako. Ukikua utajuwa tu musee.Huyu ni mgonjwa wa akili si bure
Utajua mwenyewe mpuuzi wewe!Duuuh.....Sasa mkuu wangu, mama wa mwenzako amefikaje hapo ?!!!
Hivyo ndio kumtetea na kumfia askofu Gwajima eee?!!😲
Which means labda amefunuliwa kuwa kule bungeni kuna ugaidi wa kudhuru watu kwa kutumia vitu vilivyofichwa kwenye viti!Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Atakwenda CDM kuwa mpinzani rasmi hapo vp!Wataanza na kufunga kanisa hapo watakuwa wamemmaliza
Mtikila Aliishia alipoishia
Huyu ni drama king wa haja
Endeleeni kumlea
Mgonjwa wa akili huyo, maneno na matendo yake linadhihirisha hilo
I like this boy...yuko unpredictable kuliko weather...stand your grounds mr bishop.Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Ndio vichaa wa ccm walivyo.Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Hujui usemalo! Ni nani aliyempa huo ubunge, tena kwa mizengwe ya waziwazi na kupora kura? Sema jini walilofuga wenyewe limewageuka na kuanza kuwameza wao wenyewe.
Mkuu, Mwakyembe alipatwa cha kupatwa, kwenye issue ipi?Mwakyembe kilimkuta nini!?
sio tu kupitishwa …. tuseme alipopendelewa kugombea ubunge maana kura za maoni hakuwa wa kwanzaAlipopitishwa kugombea ubunge hakuwa askofu?!!
Kolimba, Mangula, Magufuli orodha ni ndefu.Mwakyembe kilimkuta nini!?
Sumu vs Virus. Sumu imechukuwa kombe. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza? Haya sasa kiko wapi?Nakumbuka mwaka 2015, Mzee wangu Prof ( Chuo kikuu fulani)
Anaingia Ofisin kwake, anakuta kiti kina kama vumbi la unga mweupe , anakaa, anaanguka na kupoteza fahamu.
Mwaka 2017, wakiwa kwenye kikao, anatoka kwenda kukojoa, hajui kilitokea nn, aliporudi, akanywa maji yake , palepale Tumbo likaanza, Alilazwa Hosp wiki mbili usheeee
Haya mambo mtu anaweza yashanga...kuna zile sumu za kijasusi za polonium , zinakuua taratibu taratibuu
Magufuli alisema mawaziri wenzake walimfanyia kitu kibaya.Hawaamini wana CCM wenzake.