Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ulitaka wa muue?CCM wamemdekeza wenyewe, wacha wahangaike naye!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka wa muue?CCM wamemdekeza wenyewe, wacha wahangaike naye!!
Kuna watu wana bahati zao, huyu angekua kiongozi wa dini ya wenzetu angekua analetwa na msafara wa magari na ving'ora ya sio pungua 10 askari wagetapaka kila kona......."all animals are equal but some animals are more equal than others" animal farm.
Huyu Ngosha bhana[emoji16][emoji16][emoji16]Haogopi Corona lakini anaogopa kiti
🤣🤣😂Ndio anavyodanganyaga Waumini wake?😂😆Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza
CCM mbona kuna wagonhwa wengi tu wa akili hata diallo alisemaMgonjwa wa akili huyo, maneno na matendo yake linadhihirisha hilo
Queen tena? Mmmh!Gwajima ni drama queen wa taifa
Kipimo chako ni nini!?Ana shida upstair, hilo liko wazi kabisa mkuu