This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wenye akili nyepesi wanaofikiri Gwajima hajui anachokifanya.Nakumbuka mwaka 2015, Mzee wangu Prof ( Chuo kikuu fulani)
Anaingia Ofisin kwake, anakuta kiti kina kama vumbi la unga mweupe , anakaa, anaanguka na kupoteza fahamu.
Mwaka 2017, wakiwa kwenye kikao, anatoka kwenda kukojoa, hajui kilitokea nn, aliporudi, akanywa maji yake , palepale Tumbo likaanza, Alilazwa Hosp wiki mbili usheeee
Haya mambo mtu anaweza yashanga...kuna zile sumu za kijasusi za polonium , zinakuua taratibu taratibuu