Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Nakumbuka mwaka 2015, Mzee wangu Prof ( Chuo kikuu fulani)

Anaingia Ofisin kwake, anakuta kiti kina kama vumbi la unga mweupe , anakaa, anaanguka na kupoteza fahamu.


Mwaka 2017, wakiwa kwenye kikao, anatoka kwenda kukojoa, hajui kilitokea nn, aliporudi, akanywa maji yake , palepale Tumbo likaanza, Alilazwa Hosp wiki mbili usheeee


Haya mambo mtu anaweza yashanga...kuna zile sumu za kijasusi za polonium , zinakuua taratibu taratibuu
Wenye akili nyepesi wanaofikiri Gwajima hajui anachokifanya.
 
Huyo wanamlea sana kwa hizi drama zake za Kikolomije
Aisee
20210823_090339.jpg
 
Personally namuelewa sana Askofu....Gwajima ni mtu smart sana kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa ujumbe anaotoa...He knows something...
Mungu amlinde pamoja na mapungufu yake....ila ipo siku ukweli utakuwa wazi
Watu ni wajinga Sana. Wanafikiri Gwajima hana vyanzo vya taarifa nyeti .
 
Which means labda amefunuliwa kuwa kule bungeni kuna ugaidi wa kudhuru watu kwa kutumia vitu vilivyofichwa kwenye viti!
Si swala la kufunuliwa Kwani ya Chenge ilikuwaje. Kuna watu huwezi kuwaua kimbuzi hivyo . Kolimba yuko wapi, nini kilimkuta Mwakyembe. Zungumzeni kwa rejea. Halafu njoo mwone Gwajima hana akili.
 
Hiyo Jeshini Inaitwa
Chumvi Chumvi
Ubaya Ubaya!!!
😂😁😃😀🤣😁😃😀
Gwajiboy Kwenye Sarakasi Na Bunge Lake!!!
Mwaka Huu Usiishe Lazima Kuna Jambo!!😣😭
 
Angekuwa ni muislamu angeshakuwa ndani siku nyingi
Nyie ni dini ya fujo hata shetani mwenyewe anawakubali. Ni wapi palilipuliwa ukakuta si waislamu wamefanya hiyo misheni.

Umeongea ukweli mtupu. Wale mabikira 72 mbinguni mpaka sasa wanakuhusu.
 
Sumu vs Virus. Sumu imechukuwa kombe. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]. Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza? Haya sasa kiko wapi?
Pat's ufahamu kidogo mkuu.
IMG-20200513-WA0000.jpg
 
Hana akili huyu ni mgonjwa wa akili tu.
Uliwahi kuwaza ni namna gani yule kichaa unayemwona barabarani jinsi anakuona ww unaejiona mzima.

Pengine ktk dunia yake anakuona we ndiyo kichaa hasa.
 
Back
Top Bottom