Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,793
- 3,709
Hiyo ID unayo sema expired imetumia miaka mingapi??Uongo umeuona wapi? Kwenye andiko langu kuna uongo? Halafu napata faida gani kwa kuandika uongo hapa?.
Na imetolewa mwaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ID unayo sema expired imetumia miaka mingapi??Uongo umeuona wapi? Kwenye andiko langu kuna uongo? Halafu napata faida gani kwa kuandika uongo hapa?.
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"
Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji
Ni shida watu wengi wanazo namba tu za kitambulisho cha NIDA, kitambulisho haijulikani kitafika lini. Inaleta usumbufu mkubwa sana
Utapeli na udanganyifu ndani ya lumumba ni jangaWanatafuta 10% zao.
Namba pia haujapata?Nilijiandikisha tarehe 12 mwezi wa 9 mwaka 2020.
Nakwenda nida naambiwa kitambulisho hakijatoka[emoji3][emoji3][emoji3].
Nida comedy sana
Mmmh.Labda ku update picha maana baada ya miaka 10 sura haiwezi kua ile ile
Namba ninayo.Namba pia haujapata?
Mmmh inakuaje viwe tofauti. Changu kina expire baada ya miaka 10 na sio changu tu na vya wengine nlionao karibu.Mmmh.
Kuna dogo nilijiandikisha nae 12 mwezi wa 9 mwaka 2020.amepata mwaka huu 2021.
Anasema mwaka 2022 kina expire
kwa hiyo unataka kumaanisha Bunge nalo liitwe kwenye kamati lihojiwe [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwani Bunge linafanya kazi vizuri, ni wale wale tu asitake kushikia chini wenzie wakati ye mwenyewe kimeo!!!
ngoja nikiangalie nitakujibuMmmh inakuaje viwe tofauti. Changu kina expire baada ya miaka 10 na sio changu tu na vya wengine nlionao karibu.
Labda hiko feki
Juzi amesikika akisema et miswada wanayopelekewa kujadiri mingine ni mibaya,wabunge wanaikataa lakini mawaziri wanang'ang'ania hivo hivo ipite na wao hawana jinsi inabidi waipitishe hivo hivo,baada ya mwaka ubovu unaonekana wanairudisha tena kujadiriwaNdugaye hana ujanja wa kumhoji waziri
Huyo jamaa naona madhara ya yule bundi yameanza kumtafunaJuzi amesikika akisema et miswada wanayopelekewa kujadiri mingine ni mibaya,wabunge wanaikataa lakini mawaziri wanang'ang'ania hivo hivo ipite na wao hawana jinsi inabidi waipitishe hivo hivo,baada ya mwaka ubovu unaonekana wanairudisha tena kujadiriwa
Angalia vizuri.ngoja nikiangalie nitakujibu
Kama uliomba 2020 kitaexpire 2030Namba ninayo.
Shida mwaka 2022 kinaexpire kitambulisho.yaani kabla haujapata kinakwenda kuexipire