Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Du ! Hii nayo ni Mpya ya mwaka .hata mmoja hakuna?! hakuna kabisakabisa.
 
Hakuna wabunge hapo, ni wateule wa mwendazake....kinachosubiriwa hapo ni posho ili bata ziendelee kwenye vijiwe vya starehe hapo idodomya..
 
Wabunge wanajadili maswala ya gongo bungeni! So stupid yani! Bunge ukiacha lile la Pius Msekwa na la Samwel Sitta mabubge yaliofata yamekuwa na utopolo wa hali ya juu!
Hivi Hili Ni Bunge Ama Bonge?
 
Kama wameishiwa maswali tusisikie wanataka muda wa bunge uongezwe.
 
Huu ni upambavu wa hali ya juu. Lawama zote na laana ziwe juu ya mapaji ya nyuso zao akina Polepole na Kakurwa. Huyo mwingine achomeke na moto wa makaa ya mawe huko alipo.
 
Hao ni wateule wanachakata posho tu ambazo ni jasho la wanyonge.
 
Naomba nikukumbushe hao wabunge hawakupigiwa kura walipitishwa kwa nguvu ya chama.

Sasa itakuwa unafiki sana kama tutajisahaulisha kuwa hapo hakuna wawakilishi wa wananchi kwa idadi kubwa ni wachumia tumbo ambao tayari wameshapata wanachotaka nayo ni mishahara, mavx na posho nene. Sasa sidhani kama kuna mwananchi aliwatuma hapo.

So kwasasa hatuna budi bali kutazama hadi wamalize muda wao.... And then..... Maybe then tutakuwa serious kuchagua viongozi wa kueleweka.....
 
Jamani hata Mbunge wangu Bashiru ameshindwa kuuliza swali la nyongeza?
Bashiru na polepole hawamuwakilishi yeyote maana aliyewateua ni marehemu sasa watamuwakilisha nani marehemu? Samia atateua wake.
 
Mkuu usisahau kuwa hili bunge la safari hii ni "mhuri" kwa maana takriban 80+ waliingia kwa hisani ya "mwendazake" binafsi sitarajii waliotolewa majalalani kuchangia kwa mustakabali wa Taifa.
 
Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimalinafasi

Halafu kuna mmoja nimemsikia akihojiwa eti akasema "tutamuuliza hata alhamis ijayo..." kasahau kwamba golden chance never comes twice hivyo time time before the time times you

Narabuk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…