Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

nimeshasema bunge ambayo halina wapinzani ni sawa tu na chai bila sukari,maswali yatoke wpi? wakati wenye kuuliza hayo maswali hawapo bungeni.
 
Ndivyo walivyotaka..yaani watu 360 eti muwe wote na mawazo sawa laah kuna jambo jipya lenye manufaa kwa umma litatoka hapo kweli
 
nimeshasema bunge ambayo halina wapinzani ni sawa tu na chai bila sukari,maswali yatoke wpi? wakati wenye kuuliza hayo maswali hawapo bungeni.
Utakuta kuna watu walishangilia sana kitendo cha kina Bashiru kuwawekea mtima nyongo wapinzani kuingia bungeni.
 
Back
Top Bottom