Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 STD 7 & Co.Bingwa wao wanaye muamini kuuliza maswali ni Kibajaj na Msukuma
Umeonaeeeeee?Je wamemaliza kuwananga maprofesa, wasomi na elimu ya Tanzania kwa ujumla? Nilimsikia mmoja akipendekeza watoto wa shule wafundishwe kuchunga ng'ombe.
Bwashee maendeleo hayana vyama!Bwashee naona kama vile unabadili gia angani!
Hahaha.. leo tu katika kubadil channel ndio nikapita hapoIvi wewe bado una muda tu wa kuangalia bunge la Wapendanao???
Hapana, ni la kwetuBunge la Kenya?
Kama ndiyo hivyo basi tuna safari ndefuKwani hawataki kurudishwa kwa Mara nyingine.
Kabisa, hili Bunge limekosa Wapinzani wa kweli hivyo hoja zenye uzito nazo zimekosaWapinzani walikuwa wanaleta maswali kwa kuibua mawazo mapya, Sasa mtu mmoja hayupo lakini akasema nileteeni huyu mtapata maendeleo,
Saizi Ni mwenda wa mawazo mgando tu mana wote Wana ilani moja, ambayo wameitengeneza wao .
Wakina mdee wakiuliza maswali wanajobolewa kwa sababu hawana chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanzaje na utaanzia wapi kumuuliza swali mtu ambae amekupa ubunge?Unahitaji kuwa na PhD kujua kuwa hawa wabunge wa CCM wa sasa hivi waliingizwa bungeni kwa njia za magumashi na serikali ya Magufuli ambayo Majaliwa alikuwa ni waziri mkuu wa serikali hiyo na ndiye aliefacilitate kuhakikisha kuwa wabunge hawa wanaenda bungeni wananchi watake wasitake?Je nini kimepelekea kuwepo kwa hali hii?
Walasam.
Sasa unajiandikishaje kuuliza swali kwa Mtu ambaye hayupo? Hii nchi ngumu sana wallah, yaani PM yupo zake kwenye kampeni huko kwa Mpango na ameacha majukumi yake ya Kiserikali pale Bungeni!Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini...
Sawa hapo nimeelewa, kwa hiyo tusitegemee hoja nzito katika Bunge hili kama ndiyo hivyoUtaanzaje na utaanzia wapi kumuuliza swali mtu ambae amekupa ubunge?Unahitaji kuwa na PhD kujua kuwa hawa wabunge wa CCM wa sasa hivi waliingizwa bungeni kwa njia za magumashi na serikali ya Magufuli ambayo Majaliwa alikuwa ni waziri mkuu wa serikali hiyo na ndiye aliefacilitate kuhakikisha kuwa wabunge hawa wanaenda bungeni wananchi watake wasitake?
Wabunge wote wamefyata mikia wanaogopa kumhoji aliewapa ubunge,kwa hiyo usitegemee lolote la maana kwenye bunge hili.Sawa hapo nimeelewa, kwa hiyo tusitegemee hoja nzito katika Bunge hili kama ndiyo hivyo