Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

CCM yapo bungeni hayajui hata la kufanya kama watoto wadogo waliovaa pampasi!🐒🐒🐒
haahaaaha aiseee Hilo genge la Ndu guy linaniacha hoi sana mkuu yaani zero IQ halafu ndio watunga sheria wa nchi

Hiiiii bha nghosha

Full kudemkaaaaaa!
(in brother K voices)
😂😂😂
 
Wabunge wa CCM hawana maswali ya kumuuliza Waziri mkuu, wao wanajibiwa na David Silinde wa Tamisemi au Katambi wa ofisi ya waziri mkuu.

Maswali ya papo kwa hapo ni maalumu kwa ajili ya wabunge wa upinzani ambapo KUB hupewa fursa ya kuuliza swali la msingi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.

Kazi Iendelee!
 
Poleni, mnaoishi na guilty mioyoni. Mjitahidi sana msije kupata sonona.

Mi5 tena
 
Hata mie nimeshangaa sana hata hiyo Rona mpya ya India na safari za huko ,haiwezi kukosekana swali kwl jamani?
 
Yaani hata wale COVID 19 waliopo bungeni kwa hisani ya Ndugai wameshindwa kuuliza maswali?
 
Covid sasa hivi wanajiandaa kurudi makwao baada ya kumsikia mama Salma akilisifia bunge la kenya
Nilifuatilia Mhe. Raisi Mama SASHA akihutubia mabunge ya Kenya kwa uhodari mkubwa sana. Ni heshima kwa nchini yetu. Alichonifurahisha Mhe Raisi ni kuwa ni mpenzi wa mijadala ya mabunge ya Kenya kwa maana ya kupenda kuangalia TV za Kenya zinazorusha mubashara vipindi vya mabunge hayo.

Hii inatuma ujumbe kwa bunge la Tanzania na hasa kwa Spika wa bunge letu kuruhusu mijadala yote ya bunge letu kurushwa LIVE kwenye TVS zote bila masharti yoyote.
 
Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini....
Ivi wewe bado una muda tu wa kuangalia bunge la Wapendanao?
 
Back
Top Bottom