Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Nilifuatilia Mhe. Raisi Mama SASHA akihutubia mabunge ya Kenya kwa uhodari mkubwa sana. Ni heshima kwa nchini yetu. Alichonifurahisha Mhe Raisi ni kuwa ni mpenzi wa mijadala ya mabunge ya Kenya kwa maana ya kupenda kuangalia TV za Kenya zinazorusha mubashara vipindi vya mabunge hayo. Hii inatuma ujumbe kwa bunge la Tanzania na hasa kwa Spika wa bunge letu kuruhusu mijadala yote ya bunge letu kurushwa LIVE kwenye TVS zote bila masharti yoyote.
Ndugaye kuruhusu bunge la bongo kuwa live atakuwa anajianika madhaifu yake man mwenyewe tayari ameyumba.
 
images (21).jpeg
wapo hawa watauliza! Kama wameushinda UVIKO kwa kuchanganya tangawizi , malimao , na nanasi unatarajia nini?
 
Wabunge wa CCM hawana maswali ya kumuuliza Waziri mkuu, wao wanajibiwa na David Silinde wa Tamisemi au Katambi wa ofisi ya waziri mkuu.

Maswali ya papo kwa hapo ni maalumu kwa ajili ya wabunge wa upinzani ambapo KUB hupewa fursa ya kuuliza swali la msingi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.

Kazi Iendelee!
KABURI linamsuta mbakaji wa demokrasia, kuna walokole bungeni wanapokea mishahara michafu kwakuwa wanajua kabisa hawakushinda, wakianza na AMFILILO, bi tukinao, mzee wa kiupiga rungu na wengine wengi.
 
Wabunge wamekuwa kama wanafunzi wa santi kayumba, mwenye swali....wanatoa macho tu, mmeelewa? wanatoa macho tu, hamjaelewa? Wametoa macho tu...
 
Wabunge wa CCM hawana maswali ya kumuuliza Waziri mkuu, wao wanajibiwa na David Silinde wa Tamisemi au Katambi wa ofisi ya waziri mkuu.

Maswali ya papo kwa hapo ni maalumu kwa ajili ya wabunge wa upinzani ambapo KUB hupewa fursa ya kuuliza swali la msingi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.

Kazi Iendelee!
Bwashee naona kama vile unabadili gia angani!
 
Back
Top Bottom