Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Jana kwa bahati mbaya sana niliona marudio ya uchangiaji bajeti wizara ya elimu kwenye UTV kwa kweli hamna bunge safari hii yaani mbunge anapewa dk 5 hata hawezi kuzimaliza anachoongea hata huelewi, bunge limepoa kbs huoni hoja inayotolewa ya kujenga zaidi ya kulialia mwisho naunga mkono hoja
 
Tuna bunge la wafuata posho tu ndiyo maana hawana swali la kumuuliza kiongozi wa shughuli za serikali bungeni,ni aibu he ni kweli watokako hakuna changamoto yeyote?.
 
Wameshindwa hata Kumuuliza Progress ya lile Igizo lake Pale Gerezani kwenye Kituo cha Mwendo kasi limeishia wapi. SMH
Hakuna mwenye uthubutu wa kuhoji maana wao wanacholilia ni kujaza matumbo yao.
 
Leo mataga ndio tumejua hawajui
Ina maana leo hao nyumbu wamekula posho za bure?

Kazi ipo Kama taifa tuna safari ndefu hapo ni sawa tunatembea kuwafuata wanaokimbia
Yaani mabeberu
🏃🏃 🚶🚶
 
🐒🐒🐒
20210421_143347.jpg
 
Hao ndio watu pekee hapa nchini (ikiwezekana duniani) ambao wameajiriwa kufanya kazi kwa kutumia akili lakini hawatumii kabisa bali ujinga na waajiri wao (wananchi) wako kimya na wamewatunuku heshima ya kuwaita Waheshimiwa.

Natamani huyo aliye ratibu mambo ya kuwaingiza huko kwa hila alambwe bakora kila siku huko aliko, malabuku!
 
Huwatakii mema hao watu! Unataka Ndugai awaweke kwenye black book yake kama alivyomfanya Nape?
 
Back
Top Bottom