Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikio la kufa....Na bado hana barakoa
Halisikii dawaSikio la kufa....
Walio sema Mpango yuko Nairobi wako wapi
Waache dawa iingie na kuongea kama hujui kitu kukishabikiaa atakae teseka. Ni mzazi vijan huu ushabiki usio na manufaa utatuponzaaWamehamia kwa President, wanadhani tuna kumbukumbu fupi kama wao
Waache dawa iingie na kuongea kama hujui kitu kukishabikiaa atakae teseka. Ni mzazi vijan huu ushabiki usio na manufaa utatuponzaa
Spika Ndugai amempongeza sana!Lini walimwambia kafanya uwasilishaji mbaya wa bajeti?
Unafiki siyo mzuri.Pole yake kwa kupitia kipindi kigumu pale BMH.
Waziri wa fedha Dr Mpango leo amewasilisha mpango wa bajeti ya 2021/22 mbeke ya wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa.
Bajeti hiyo ni ya tsh 36.3 trillioni.
Spika Ndugai na waziri mkuu mh Majaliwa wamempongeza Dr Mpango kwa uwasilishaji mzuri.
Source ITV habari