Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Tumuombee huenda anamatatizo ya kusahauHajakoma huyu! Yale machozi hayakumaanisha chochote kwakwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuombee huenda anamatatizo ya kusahauHajakoma huyu! Yale machozi hayakumaanisha chochote kwakwe
Hajakoma huyu! Yale machozi hayakumaanisha chochote kwakweNa bado hana barakoa
Aache kulia lia kama mtoto, awe mgumu kama mr prezdaaNu mzima wa afya!
Aisee!Hajakoma huyu! Yale machozi hayakumaanisha chochote kwakwe
Aache kulia lia kama mtoto, awe mgumu kama mr prezdaa
Walio sema mpango yuko nairob wako wap
Tuletee video tafadhali!PICHA: Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango leo anawasilisha taarifa ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/22, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni, Dodoma.
NAWASILISHA
---
Waziri wa fedha Dkt. Mpango leo amewasilisha mpango wa bajeti ya 2021/22 mbele ya wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa.
Bajeti hiyo ni ya Tsh 36.3 trillioni.
Spika Ndugai na Waziri Mkuu mh Majaliwa wamempongeza Dkt. Mpango kwa uwasilishaji mzuri.
Chanzo: ITV habari
Nimekuja kugundua Mitandaoni ni nchi nyingine na Tz ni nchi nyingineJana ilisemekana eti Dr. Mpango yupo hoi in a comma. Hii mitandao hii ni shida
Kwenye hiyo thread ya lisu kuuliza aliko mhWewe ndio muongo! Walisema lini? Lini hapa ndio muhimu kwa sababu yeye mwenyewe amejitokeza week karibu tatu zimepita akisema kuzushiwa kifo lakini hakusema alizushiwa maradhi. Inaonekana wewe ndio hauko current!! Kama haufahamu, wengi wa wagonjwa wetu wakubwa hawatibiwi hospitali za Tanzania na ni kwa sababu hata hospitali zetu za serikali hazina vifaa vya kujikinga na maambukizi!!