Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango awasilisha mpango na Mkomo wa Bajeti

Wamehamia kwa President, wanadhani tuna kumbukumbu fupi kama wao
Waache dawa iingie na kuongea kama hujui kitu kukishabikiaa atakae teseka. Ni mzazi vijan huu ushabiki usio na manufaa utatuponzaa
 
Waziri wa fedha Dr Mpango leo amewasilisha mpango wa bajeti ya 2021/22 mbeke ya wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa.

Bajeti hiyo ni ya tsh 36.3 trillioni.

Spika Ndugai na waziri mkuu mh Majaliwa wamempongeza Dr Mpango kwa uwasilishaji mzuri.

Source ITV habari
 
Jana ilisemekana eti Dr. Mpango yupo hoi in a comma. Hii mitandao hii ni shida
 

..leo hakuangua kilio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…