Sawa mhe:Spika Ndugu waziri wa serikari atakuja kujibu hoja yako,Nilichofanyiwa Mh. Spika napenda kuweka kumbukumbu sawa, nasema sio sahihi, nimefadhaika sana, nimeonewa sana, nimedhalilishwa sana katika hili. Mimi sikuuulizwa, kulikuwa na shida gani kumuuliza Waziri Mkuu?
Dah Bunge lilikuwa zamani, siku hizi ni upupu mtupu. Siku akina Job na wenzake mjengoni wanajikomba mno kwa Jiwe.
Naomba kuwasilisha Mh. spika wa JF
Mhe speaker kwa kuwa wewe ni mtu mzima je huoni kuna haja uanze kuleta hota za kiutu uzima hapa bungeni ?Karibu sana mhe:Kibajaji
Muheahimiwa spika lini sisi watoto wa wanyonge tutapata access kule jukwaa la Makungwi..
muheahimiwa spika lini ID ya Denvers itapata pm toka kwa girls kama wawakilishi wengine wapatavyo?Ndugu mbunge kule jukwaa limefutwa kwa mujibu wa maneno ya Raisi wa jamii forum Max
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nayapenda maisha yangu kuliko unavyofikiri Mhe:Mbunge, post za kiutu uzima nawaachia nyieMhe speaker kwa kuwa wewe ni mtu mzima je huoni kuna haja uanze kuleta hota za kiutu uzima hapa bungeni ?
Naomba kuwasilisha mh speaker
Mhe: Baba Swalehe atajibu swali hili Ndugu MbungeKwa mujibu wa kifungu kisichofahamika je ni halali kutongoza humu na kukataliwa..? Ipi adhabu ya kusomesha..?
Swali la nyongeza ukiwa kama spika wa bunge lisilofahamika je,Nini hatima ya Nini..?
Ndugu spika mimi kama waziri wa mambo ya kifamilia... Nasema si sawa kabisaMhe: Baba Swalehe atajibu swali hili Ndugu Mbunge
Ndugu spika mimi kama waziri wa mambo ya kifamilia... Nasema si sawa kabisa