Bungeni Jamii forum

Bungeni Jamii forum

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Karibuni bungeni, katika Nchi ya Jamii Forum,
Njooni tujadili Changamoto, maendeleo na kupanga bajeti ya Nchi yetu ya Jamii forum ,
Bila kusahau Report ya CAG, Bajeti ya Nchi na fedha za miradi,
Usiache kuhoji zile ajira zilizotolewa hapa nchini za mawaziri wa serikari(Mod) kama zilitolewa kihalali bila Rushwa,

Karibuni bungeni usisahau neno "Mhe spika"
Kila na baada ya kumaliza hoja yako.

Cc Zero iq

Cc Zero iq
 
Nilichofanyiwa Mh. Spika napenda kuweka kumbukumbu sawa, nasema sio sahihi, nimefadhaika sana, nimeonewa sana, nimedhalilishwa sana katika hili. Mimi sikuuulizwa, kulikuwa na shida gani kumuuliza Waziri Mkuu?

Dah Bunge lilikuwa zamani, siku hizi ni upupu mtupu. Siku akina Job na wenzake mjengoni wanajikomba mno kwa Jiwe.

Naomba kuwasilisha Mh. spika wa JF
 
Sawa mhe:Spika Ndugu waziri wa serikari atakuja kujibu hoja yako,
 
Mhe speaker kwa kuwa wewe ni mtu mzima je huoni kuna haja uanze kuleta hota za kiutu uzima hapa bungeni ?
Naomba kuwasilisha mh speaker
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nayapenda maisha yangu kuliko unavyofikiri Mhe:Mbunge, post za kiutu uzima nawaachia nyie
 
Kwa mujibu wa kifungu kisichofahamika je ni halali kutongoza humu na kukataliwa..? Ipi adhabu ya kusomesha..?
Swali la nyongeza ukiwa kama spika wa bunge lisilofahamika je,Nini hatima ya Nini..?
 
Kwa mujibu wa kifungu kisichofahamika je ni halali kutongoza humu na kukataliwa..? Ipi adhabu ya kusomesha..?
Swali la nyongeza ukiwa kama spika wa bunge lisilofahamika je,Nini hatima ya Nini..?
Mhe: Baba Swalehe atajibu swali hili Ndugu Mbunge
 
Back
Top Bottom