Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.
Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.
Kwa vyovyote vile huyo atakuwa viti maalum. Alitaka akaishi magogoni?
Hii ndo effect ya emotional thinking!
Yeye kama mbunge anaishia wapi? singida au london?
Wanawake hatupendani daima dumu.
mi nna hasira zaidi,
mwenye namba yake plz,,,
i cant hold it n more
hapa ndio napata shida, sasa mamii kama kakosea asiambiwe kisa mwanamke mwenzetu huko si kupendana ni kupotezana ukweli kila siku uwekwe wazi.
kwangu mwanamke akisema pumba nitamwambia ili siku nyingine asituabishe huku ni kujengana si kuchukiana.
usiwe na mawazo hayo.
alichosema huyo dada hata angesema mkaka ningalikuwa mimi nachangia lolote ningesema ukweli wa namna nionavyo.
WATU hawa tunawaita "kichwa maji". Bahati nzuri criterion ya kuwa mbunge wa viti maalumu wa CCM TUNAIJUA.Anatafuta umaarufu kupitia kanumba
Umesikia mchango wake wote aliochangia
unajua alikuwa anamaanisha nini kusema alichosema?
Na kama mwanamke unaweza kuelewa ugumu na changamoto wanazopitia mpaka wanafika hapo bungeni,na kiukweli hamna pumba yoyote aliyeongea Martha Mlata na mbona hata Sugu ameongea mambo ambayo
almost yanafanana mbona yeye mnaona yuko sahihi?