Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mbunge wa viti maalum CCM, kifo cha SK kimetokea akiwa chumbani kwake na "mpenzi" wake akitaka kumbaka, sasa huyo mlinzi hata angekuwa nae angezuia vipi? hii ndio hatari ya kuwa na wabunge wasio na hoja! hii mambo ya viti maalum siipendi kweli yaani aaaaa!
Huyu nafikiri atakuwa mmoja wa wale waliozimia. Pole zake.