Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Lazima awe viti maalumu tu. Mbunge wa kuchaguliwa hawezi kuongea utumbo namna hii. Kwa kweli ameniudhi naogopa kusema sana nisije kupata ban. anatumia makalio kufikiri
 

jazba............
 
Labda naye alishatiwa na Kanumba, maana naye nasikia ni mcharuko au jamvi la wageni
 
Tatizo ni mh alisimama bila kujua anachotaka kuongea,sasa uswahilin na masaki na kifo vina uhusiano gani? au wa masaki hawafi? ccm chagueni wabunge makini bwana ala!!!
 
Huyu mbunge anawakilisha upeo wa watanzania walio wengi sio kosa lake, ndio maana UMATI wa watu walijaa katika mazishi ya Kanumba kwa taarifa ya muda mfupi lakini wakiambiwa washiriki katika maandamano ya kudai katiba mpya ama malalamiko ya kupanda gharama ya bidhaa humuoni mtu. UPUUZI MTUPU
 

Kwani Rais mkapa alivyovunjika mkono wakati ule alikuwa anakaa magogoni au uswazi??? Naona mheshimiwa alipita kwenye ghahawa ndo akaja kuongea!!
 
Magamba. Wanafikiri kwa ma....ko. Siyo huyo tu bali ni asilimia 90 ya magamba akili zao zimeishia hapo. watamaliza kikao bila kuongea la maana.
 
Veriveri intelijenti and jinias memba of paliamenti.
Hastahili kulipwa posho huyo.
 
Reactions: kui
He!! Makubwa haya!! Bungeni wanajadili hayo!!!
 

koh koh!
 
Angalia upuuzi wa wabunge wa Magamba kwani hakuna Watanzania wanaokaa uswahilini Kama shida ampeleke kwake Uzunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…