The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Kweli wewe ni Bugiki....yaani ndoto zako za mchana ndiyo utuletee hapa tujadili. Umeota weeee halafu unaleta hapa...nani ka kuambia hiki.....ebu tuweni wapana kimawazo tuache ufinyu wa namna hii. Lawama kila kuchao kwa hoja za ndoto za mchana.Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015...
Ndugu siyo mimi. Ni mbunge wenu wa CCM, Kasheku Msukuma - Geita Vijijini leo bungeni...Kweli wewe ni Bugiki....yaani ndoto zako za mchana ndiyo utuletee hapa tujadili. Umeota weeee halafu unaleta hapa...nani ka kuambia hiki.....ebu tuweni wapana kimawazo tuache ufinyu wa namna hii. Lawama kila kuchao kwa hoja za ndoto za mchana.
Ndugu siyo mimi na wala siyo suala la kuota...
Hayo yamesemwa na mbunge wa CCM Kasheku Msukuma, bungeni leo.
Nimekuwekea na video hiyo hapo akiongea, lakini sijui kwanini hujanielewa na badala unani - attack mimi?
By the way, hayo ni maoni ya Mbunge. Unaweza kukubaliana au unatofautiana naye. Mimi nimekubaliana naye..
Wewe unasemaje?
Jitahidi kutoa hoja na siyo kutapika frustrations zako na ku - attack personality za watu hapa....
Uskatae unabii bdo upoo..CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje???? hIKI ULICHOANDIKA SIYO NDOTO??? NANI ALIKUAMBIA KUWA WAMEMUTANGULIZA??? EBU CHUKUA JEMBE KALIME USILAL E MCHANA NA KUTUPA NDOTO HIZI
CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje???? hIKI ULICHOANDIKA SIYO NDOTO??? NANI ALIKUAMBIA KUWA WAMEMUTANGULIZA??? EBU CHUKUA JEMBE KALIME USILAL E MCHANA NA KUTUPA NDOTO HIZI
Hawajui Hawa, hawaelewi, ngja tusubiri TUCcm kwa maksudi kabisa ukiiangalia kwa jinsi wanavyoigawana keki ya taifa kwa manufaa yao, na kwa jinsi wasivyo na uchungu kwa wananchi kwa utawala huu,
Na kwa jinsi Rais aaivyoshaurika kuhusu mawaziri mizigo na hataki kabisa kuwaondoa, licha ya kwamba wanamchafua sana, na yeye kukubaliana na hali ya kuchafuliwa na anaona ni sawa tuu
Mambo mengi magumu nchi inapitia na hakuna hatua ya maksudi ya kuitoa nchi kwenye mkwamo huo, ukijumlisha na hili la kuondoa elimu bule, ni dhahiri kabisa kuna mpango mahususi kutoka humohumo CCM kwamba, 2025 watakipa ushindi chama B" kipya kinachohangaika kupata usajiri wa kudumu
Kwa sababu nawahakikishieni kuwa, 2025 hata kwa fimbo, hakuna mtu atakaye mpa kura mama Samoa Rais aliyepo
Kwa sababu moja tu, wananchi watakuwa wamechoka vibaya na maisha magumu, watakuwa wamechoka vibaya na huduma mbovu za serikali!
Niamini mimi
Mbona wewe Husemi/hutoi sababu za kwanini hukubaliani naye..?Msukuma hajatoa maelezo ya kutosha zaidi ya kuonyesha uwepo wa upungufu wa walimu, ambao ufumbuzi wake ni kuajiri walimu wa kutosha. Walimu wapo mitaani hawana kazi.
Labda nikuulize, kwanini wewe umekubaliana na huyo Musukuma?? Tuanzie hapo
Asante kwa maoni yako. Nayaheshimu kwa 100%...Ccm kwa maksudi kabisa ukiiangalia kwa jinsi wanavyoigawana keki ya taifa kwa manufaa yao, na kwa jinsi wasivyo na uchungu kwa wananchi kwa utawala huu,
Na kwa jinsi Rais asivyoshaurika kuhusu mawaziri mizigo na hataki kabisa kuwaondoa, licha ya kwamba wanamchafua sana, na yeye kukubaliana na hali ya kuchafuliwa na anaona ni sawa tuu
Mambo mengi magumu nchi inapitia na hakuna hatua za maksudi ya kuitoa nchi kwenye mkwamo huo, ukijumlisha na hili la kuondoa elimu bule, ni dhahiri kabisa kuna mpango mahususi kutoka humohumo CCM kwamba, 2025 watakipa ushindi chama B" kipya kinachohangaika kupata usajiri wa kudumu
Kwa sababu ninachokijua, CCM piga ua garagaza, hswawezi kukipa ushindi Chadema ni bora hata itokee vita Ila si chadema kupewa nchi, basi watakipa chama chochote Ila sio Chadema
Kwa maana hiyo nawahakikishieni kuwa, 2025 hata kwa fimbo, hakuna mtu atakaye mpa kura mama Samoa Rais aliyepo
Kwa sababu moja tu, wananchi watakuwa wamechoka vibaya na maisha magumu, watakuwa wamechoka vibaya na huduma mbovu kwenye nchi inayowakamua kila uchwao
Niamini mimi
Unachanganya mambo mawili kiasi cha kukufanya ushindwe kuipata point ya mbunge huyu;Kwa jinsi Musukuma alivyoiweka hoja yake bila maelezo mengi, ufumbuzi wa tatizo la upungufu wa walimu mashuleni ni kuajiri walimu wa kutosha. Walimu kwa maelfu wapo mitaani hawana kazi! Hela ya kuajiri hao walimu itatoka wapi, hilo ni suala lingine, lakini ufumbuzi wake si kutaka wazazi wachangie wakati tayari wanamsururu wa kodi.
Kimsingi hoja ya Musukuma ni nyepesi mno na wewe umeiunga mkono kirejarejaβ¦
Labda pia tuangalie faida za elimu bure, ili kuutendea haki mjadala huu. Miye nitaanza na moja tu, elimu bure imechangia pa kubwa kupunguza idadi ya watoto wa mitaani.
Sasa mkuu tatizo ni watoto kua wengi,au tatizo ni elimu kua bure?Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015..
Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza hili lakini ukweli ukiwa mpango umekwisha kuiva kurejesha ada mashuleni...
Ukiniuliza mimi, nitajibu kwa herufi kubwa kabisa, kuwa YES huu ulikuwa uamuzi wa kimakosa. Wazazi na walezi ni Sharti wachangie gharama za kusomesha watoto wao ktk ngazi zote za elimu..!
Mtazame na msikilize hapa.
View attachment 2219306
Asante usiku mwema. Endelea kucheka kwa sbb ya hoja hizoKwa hoja hizo za kuchekesha, nadhani umeshinda mjadala huu. Endeleani kwa raha zenu kufuta elimu bure..!