Bungeni: Mayenga (Mbunge wa CCM) amsimanga Halima Mdee na wenzake 18 bila huruma

Bungeni: Mayenga (Mbunge wa CCM) amsimanga Halima Mdee na wenzake 18 bila huruma

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless.
Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu.

Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako.

Ndugai 2025 ni mstaafu, nani atakukingia.

Mh LUCY MAYENGA Hongera sana kwa kusema ukweli na kuonyesha wazi kuwa kitendo cha Uviko 19 hawana sifa yakumsema Magufuli huku wakijua kuwa ndiye aliyewaingiza.
ASANTE MAYENGA.SPIKA akikuita kama alivyofanya kwa NAPE sema unaumwa
 
Amemwambia Halima Mdee kwamba pamoja na yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 yanayolalamikiwa , lakini Mdee na wenzake 18 wanapaswa kuishukuru serikali hiyo kwa kuendelea kuwemo bungeni .

Kwetu Kyela kuna msemo wa kinyakyusa unaosema hivi " IKULIILA MUUNTO " maana yake ni kwamba anakula kwa kufedheheka sana , yaani ni kwamba mtu anaweza kuwa analipwa ujira wake lakini analipwa katika mazingira ya kufedheshwa sana .

chanzo : Mwananchi

 
Amemwambia Halima Mdee kwamba pamoja na yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 yanayolalamikiwa , lakini Mdee na wenzake 18 wanapaswa kuishukuru serikali hiyo kwa kuendelea kuwemo bungeni...
Tulisha maliza maombi ,KWA kuendelea kuiba kodi za walipa kodi na wakijua hawastaili kuwa Bungeni ,mengi yaja juu yao wasipo ondoka Bungeni,ni mwanzo tu
 
Hao wanafikiria matumbo yao tu. As long as account zinasoma, maneno yote kwao ni kama ngonjera.

Mungu ana njia nyingi za kuumbua wanafiki, leo hii washajulikana msimamo wao ni upi endapo CHADEMA ingeshika hatamu. Wangeishia kuwa mafisadi waliotukuka hao kina Mdee.

CHADEMA washukuru Mungu kuwatambua mapema. Ina maanisha wao ndio walikuwa wavujishaji siri zote za chama.
 
Back
Top Bottom