Dogooo! Acha hizo wewe! Dar hii ninayoifahamu watu ni mashoga kwa sababu ya pesa. Hata ndani ya CHDEMA watu wana bidii kwa sababu ya mshiko waliokuwa wanapiga. Ukitaka kujua hilo subili mwaka wa tatu na baada ya uchaguzi huu ndo utajua. Mwaka wa 4 zikipatikana za akina Sabodo ndo utajua urafi wa pesa uko kwa nani.Dah.,, hii ni fedheha kubwa sana! Ila binadamu tupo tofauti sana, Mimi ningeachana na Bunge ningeendelea na mambo mengi maisha yaende, kwani kipato kinapatikana bungeni tu?