Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Pamoja na wenzake watapata tabu Sana.Aisee, Mzee mudeee anapata tabu sana, sema hana jinsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na wenzake watapata tabu Sana.Aisee, Mzee mudeee anapata tabu sana, sema hana jinsi
Halima Mdee ni kiongozi na mbunge smart sana anayepaswa kuigwa; yuko flexible na pia ana maono ya mbali. Ni mzalendo ambaye hangoji maamuzi ya kundirakiba (peer group), ili afanye maamuzi yenye tija kwake na kwa watu anaowaongoza ama taifa kwa ujumla. Hivi kweli utaachaje kumuunga mkono kiongozi bora na madhubuti kama JPM? Si unafiki au ugonjwa wa akili huo?Wangekodiwa ngoma ya usutaji.Wasutwe hadi wafariki dunia.Halima was the very good old girl!Kwa haya anajiaibisha.🤔🤔🤔🤔
Siasa hazitabiriki. Haitoshangaza sana Halima na wenzake wakaskilizia mpaka mid 2024 then wakaenda kumuangukia Mbowe huku wakilia.Halima amekuja kuharibikiwa uzeeni sababu ya tamaa za kijinga
We unasema tu,bungeni patamu unaweza kuua mtu anayetaka kukukwamisha,tibaijuka alitoka UN kugombea ubunge,gambo na bashite wakaacha u RC sababu ya ubunge, diodorus camara kakimbia ubalozi sababu ya ubungeDah.,, hii ni fedheha kubwa sana! Ila binadamu tupo tofauti sana, Mimi ningeachana na Bunge ningeendelea na mambo mengi maisha yaende, kwani kipato kinapatikana bungeni tu?
Du! Sijui nae spika kajisikiaje maana kanyoosha bila kupindisha.Amemwambia Halima Mdee kwamba pamoja na yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 yanayolalamikiwa , lakini Mdee na wenzake 18 wanapaswa kuishukuru serikali hiyo kwa kuendelea kuwemo bungeni ...
Hapana Mkuu! Nakwambia binadamu hatufanani kabisa! Unajua Mimi ni wale watu design ukiiba kuku wangu nitauza ng'ombe ili nipate pesa ya kuendesha hiyo kesi!We unasema tu,bungeni patamu unaweza kuua mtu anayetaka kukukwamisha,tibaijuka alitoka UN kugombea ubunge,gambo na bashite wakaacha u RC sababu ya ubunge,diodorus camara kakimbia ubalozi sababu ya ubunge
Kumbe!Amemwambia Halima Mdee kwamba pamoja na yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 yanayolalamikiwa , lakini Mdee na wenzake 18 wanapaswa kuishukuru serikali hiyo kwa kuendelea kuwemo bungeni ...
Huku Tandika tunaita Kigoma cha uruguayWangekodiwa ngoma ya usutaji.Wasutwe hadi wafariki dunia.Halima was the very good old girl!Kwa haya anajiaibisha.🤔🤔🤔🤔
Yakitokea hayo labda watapigiwa kura na wafanyakazi wa ndani wa MboweSiasa hazitabiriki. Haitoshangaza sana Halima na wenzake wakaskilizia mpaka mid 2024 then wakaenda kumuangukia Mbowe huku wakilia.
Mbowe kwa huruma zake za kiuongozi most likely atawasamehe, atapull strings ndani ya vikao then Mdee na kundi lake watasimamishwa kugombea ubunge tena
A week is a long time in politics
Ebwanae, ila ndugu yangu hao wadada siwalaumu mtaani pagumu na majukumu yanakaba,ule mpunga unatamanisha,miaka mitano umasikini bye byeHapana Mkuu! Nakwambia binadamu hatufanani kabisa! Unajua Mimi ni wale watu design ukiiba kuku wangu nitauza ng'ombe ili nipate pesa ya kuendesha hiyo kesi!
Upasuaji aliofanyiwa wa kuondolewa mshipa wa aibu utamgharimu maisha yake yoteAisee, Mzee mudeee anapata tabu sana, sema hana jinsi
Kazi ipoWe unasema tu,bungeni patamu unaweza kuua mtu anayetaka kukukwamisha,tibaijuka alitoka UN kugombea ubunge,gambo na bashite wakaacha u RC sababu ya ubunge,diodorus camara kakimbia ubalozi sababu ya ubunge
Na political career yao inaweza kuwa ndiyo mwisho wake huu.Wangekodiwa ngoma ya usutaji.Wasutwe hadi wafariki dunia.Halima was the very good old girl!Kwa haya anajiaibisha.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ebwanae, ila ndugu yangu hao wadada siwalaumu mtaani pagumu na majukumu yanakaba,ule mpunga unatamanisha,miaka mitano umasikini bye byeHapana Mkuu! Nakwambia binadamu hatufanani kabisa! Unajua Mimi ni wale watu design ukiiba kuku wangu nitauza ng'ombe ili nipate pesa ya kuendesha hiyo kesi!