Anaishi kwa aibu snAisee, Mzee mudeee anapata tabu sana, sema hana jinsi
Kaharibu brand yake kwa tamaa ya pesaHalima amekuja kuharibikiwa uzeeni sababu ya tamaa za kijinga
Sana yaani mkuuKaharibu brand yake kwa tamaa ya pesa
Tulisha maliza maombi ,KWA kuendelea kuiba kodi za walipa kodi na wakijua hawastaili kuwa Bungeni ,mengi yaja juu yao wasipo ondoka Bungeni,ni mwanzo tuAmemwambia Halima Mdee kwamba pamoja na yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 yanayolalamikiwa , lakini Mdee na wenzake 18 wanapaswa kuishukuru serikali hiyo kwa kuendelea kuwemo bungeni...
ππππ Kupatwa kwa mzee MdeeAnaishi kwa tabu mzee Halima