Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

Police siyo wa kuwasaidia kabisa. Hao jamaa ndiyo vitendea kazi vya kusimamia udhalimu wa ccm
 
Unaweza ukawa na limwili likubwa na likichwa likubwa akili ukawa huna
 
Hawajibiki kwa Lugola kwakua nyumba aliijenga mwenyewe wala hakusaidiwa kupangisha pia ni maamzi yake akipenda nyumba inabaki bila mpangaji Hakuna wakumhoji
 
Tuliandika sana humu juu ya hayo yanayojiri sasa kuwa chuki inayopandwa tutavuna matunda yake tu na haya yatajitokeza sana CCM watawafukuza pia wasiokubaliana nao kama ambavyo wanabambikiwa vyesi na mwisho wa siku "tutagawana mbao"
Huo ni mwanzo na ishara mbaya...
Tunayo hiyari ya kujitafakari sasa ama kuendelea kwa juhudi na maarifa katika kujenga chuki na uhasama kisiasa huku tukishangilia kwa nyimbo na mapambio huenda vikalipa tunachokitaka
 
Usishangae kesho watu wa TRA wakabisha hodi nyumbn kwake kudai Lesen
Hahitaji leseni kupangisha nyumba, lakini kama hayo mapato ya kupangisha nyumba atakuwa hayalipii kodi anaweza kujikuta kwenye kona mbaya sana hata kupoteza sifa za kuwa mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…