yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Mimi nikishajua una chembechembe za uccm ni adui yangu tayariHuo ni ubaguzi
Sio maadili ya kiTanzania Hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikishajua una chembechembe za uccm ni adui yangu tayariHuo ni ubaguzi
Sio maadili ya kiTanzania Hayo
Tushirikiane kuyapiga vita haya maccm mpaka yajione nuksi na huyo baba yao.Mimi nikishajua una chembechembe za uccm ni adui yangu tayari
Mimi huku nayasakama sana, kuna siku nilizuia mmoja asipande gariMimi nikishajua una chembechembe za uccm ni adui yangu tayari
Hata kwa mtutu mimi pia siwezi pangisha fisiemu yoyote kuanzia lumumba mpaka polisccmHuo ni ubaguzi
Sio maadili ya kiTanzania Hayo
Na yule aliyetimuliwa baada ya kuomba watatuliwe tatizo la maji kwenye jimbo la mbunge wa Chadema! Kangi angeanza na huyu wa kitaifa.Huyo maza ni mtu mzima hovyo
Well doneMimi huku nayasakama sana, kuna siku nilizuia mmoja asipande gari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama jamaa yenu anavyonuka mdomoUnaweza ukawa na limwili likubwa na likichwa likubwa akili ukawa huna
Usishangae kesho watu wa TRA wakabisha hodi nyumbn kwake kudai Lesen
Mzee wa Buno a. k.a tabulalasa.
Mzee wa Buno a. k.a tabulalasa.
Tuliandika sana humu juu ya hayo yanayojiri sasa kuwa chuki inayopandwa tutavuna matunda yake tu na haya yatajitokeza sana CCM watawafukuza pia wasiokubaliana nao kama ambavyo wanabambikiwa vyesi na mwisho wa siku "tutagawana mbao"Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.
Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.
Hahitaji leseni kupangisha nyumba, lakini kama hayo mapato ya kupangisha nyumba atakuwa hayalipii kodi anaweza kujikuta kwenye kona mbaya sana hata kupoteza sifa za kuwa mbunge.Usishangae kesho watu wa TRA wakabisha hodi nyumbn kwake kudai Lesen