Pascal hamna kitu hizo Ni drama tu. Tulia Ni dhaifu, Ni Bora Spika Kama Ndugai. Huyu aliokotwa kwa fadhiri na Jiwe toka ofisi ya Ag na kupewa shukrani ( baada ya kutetea kesi ya wakurugenzi kuwa wasimamiziwa uchaguzi ). Huyu Ni zao la Rais ambaye ana unlimited powers ambazo zinamfanya kuwateuà watu Kama Tulia kuzawadiwa vyeo. Hawezi kuisimamia serikali, hizi Ni drama tu. Rubbish of the highest degree
 
Wangekuwa na akili timamu wangeshajadili siku mingi kuhusu ubaguzi ktk elimu bora, leo wanaofanya wana akili kwa kujadili bei ya mafuta huku mama yao keshafunga mjadala kwa kusema bei ya mafuta ipo juu huko USA, ila kwa Tanzania bei ipo chini.

Vilaza Work wajadiliane tu damn damn!
 
3,148 - 792 = 2,356
Dah!
Mwigulu Nchemba and co. ni hatari sana kwa uchumi wa nchi🙄
Unakosea mkuu, kwamba unafikiri hizo pesa huwa zinaenda mfukoni mwake?
Ziliwekwa kama sehemu ya mapato tuweze kufanya miradi husika, sasa ni sisi tupime tuache kipi tuchukue kipi wala sio suala la kulaumu mtu
 
Bunge bila upinzani ni useless kabisa , kwa hili nitamlaumu Jpm hadi naingia kaburini.
Bunge letu leo lina bandwidth, wabunge wana limit ya kukosoa serikali maana wao ndo wanounda serikali hiyo
Pia wanategemea kuteuliwa kuwa mawaziri
 
Ukweli CCM ni tatizo kubwa haswa
 
Kwa kujibu wa maelezo ya Mbunge Shabiby, nchi inatumia lita million 400 kwa mwezi. Hivyo ukitaka kujua TBS na hao wengine wanapata mgao kiasi gani zidisha makato yao mara lita 400m.
 
We nawe? Sijui unatafutaga teuzi?
 
Pia haya makampuni makubwa ya mafuta ni ya kulaumiwa:
 
Yote kwa yote ukichunguza hii milio wanayoitoa unapata jibu maslahi yao yameguswa kwa namna moja ama nyingine!!
 
Wakope wa subsidize mafuta, I wish I could be in a position to make decisions kuna vitu vingine vinahitaji instantly actions sababu kuja kuvifanya wakati watu wameshapiga makelele inaonesha kutokuwa proactive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…