tangu lini ccm ikamjali mtanzania? Wote ni wapiga dili huyo waziri makamba ni jipu.
 
Tanzania kuna bunge la kipuuzi , hatutegemei makubwa kutoka kwao.

Kuleta jambo bungeni lijadiliwe it's a step already sasa kwanini husubiri unaamuwa kuwa pessimistic kwamba tusitegemee makubwa? Bunge limejadili na leo PM amekaa vikao! Kuna watu mko negative sana hata kupata maendeleo binafsi ni ngumu sana hata mafuta yauzwe JERO kwa lita
 
Mwezi February mafuta yalipanda bei, mwezi March yakapanda tena, April tena na May nayo yamepanda.

Je, haya mafuta yanayopanda bei yaliagizwa lini?

Hivi Russia na Uarabuni ni wapi mbali kutokea Tanzania? Uarabuni nako kuna vita?

Hivi vita ya Urusi na Corona ipi ilipaswa kutuletea mfumuko wa bei?

Tatizo hapa ni serikali tuliyonayo tusidanganyane.
 
Tiwekee na tuu thibitisho thibitisho
 
Kuna hatari kubwa ya kuingia kwenye recession kutakuwa na upunguzwaji wa wafanyakazi kwenye private sector ili kupunguza gharama za kujiendesha hili ni janga kubwa sababu level ya watu kukosa ajira ni kubwa tayari. Solution ni nini?

Serikali ina budget na kwenye budget mapato ya serikali kwa bahati mbaya waliweka kwenye mafuta bila kujuwa mafuta sio bidhaa yetu wala sisi hatuzalishi kwa maana hatuna control na bei zake hii ni kitu hatari sana. Nchi zenye kuzalisha mafuta waki budget wanaweka dola 60$ kwa barrel sasa bei ikipanda nu surplus na mara nyingi wanaweka base na utabiri wa bei kwa mwaka risk ipo na imeshawahi kutokea bei kushuka mpaka 25$ wakati wa corona na siku za nyuma lakini kwa kuwa wana surplus wanaitumia ile pesa ku cover mapungufu kwa muda mfupi na kupunguza gharama zao za uendeshaji.

Sasa kwa sisi hapa hatuzalishi mafuta tuna lima, madini lakini mwisho wa siku hatu control bei korosho bei ikianguka hatuna la kufanya wenzetu ndio maana wana OPEC wakiona wako chini wana kata ku regulate bei. Turudi kwetu, huwezi kupanga budget kwa bidhaa isiyokuwa yako wala huna control nayo budget unapanga na yale unayozalisha wewe ukijuwa una mamlaka kamili ya ku dictate bei na uzalishaji.

Ni sawa kama una nyumba yako umeipangisha unaweza kujuwa kwa mwaka nitakusanya kiasi hichi si nyumba yako lakini huwezi kupanga budget yako ya nyumbani kwa kutegemea kaka si kasema atanipa kiasi hichi kwa mwaka je kaka akikata? Tanzania ni lazima tubadilike katika kupanga budget zetu ndio maana serikali hawawezi kufanya lolote kwa sasa maana pesa wanataka kuiachia hawawezi vyanzo vingine hawana.

Unaweza kupanga budget kwenye bia, sigara sababu unazalisha wewe lakini sio mafuta. kusanya kwenye mafuta kodi lakini isiwe key ya muongozo wa budget yako kosa kubwa. Budget lazima iende na kila unacho produce wewe sio mwenzako, cha mwenzako fanya kama surplus.

Viongozi hawana tena mawazo mbadala ya kutanua wigo wa mapato au shida inakuja labda tunataka kuishi maisha sio ya uhalisia na kipato chetu. Serikali italazimisha kukusanya kwenye mafuta ila wana create bomu nalo ni RECCESION.
 

Madini kibao. Kumbe wabunge bado wapo wenye akili timamu, wanajua kwanini wako bungeni, wanauwezo wa kujali kazi zao, maslahi ya waliowaajiri.
 
Majizi ya kura sioni kama wana lolote jipya.
Na uhalali,au kukataliwa hupewa kibali na mwenye uweza ,ila kisicho halali hawezi kukibariki ila kilicho halali hubarikiwa na kulindwa Kwa uweza wake .Hivyo pindi watakapo acha uovu na kuipenda haki katika yote na katika hatua zote ndipo watakapo kubalika Dunia na mbinguni
 
Wanabodi,

Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa...

Ndugu Mayalla halafu hapo baadaye unaenda kumtetea Zitto. Yuko kimya kwenye matatizo makubwa yote ya sasa. Anakulipa kiasi gani? Au sababu ni usalama mwenzako?
 
Ndugu Mayalla halafu hapo baadaye unaenda kumtetea Zitto. Yuko kimya kwenye matatizo makubwa yote ya sasa. Anakulipa kiasi gani? Au sababu ni usalama mwenzako?
Huyo p na apewe anachohaha kuitafuta,kwani hata anaowapigania hawamwoni au Wana mpango nae🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…