Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Kamera kali sana hiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamera kali sana hiii
Acheni pumba ulevi wake unahusiana vipi na alichokiongea?Kuna huyu mlevi Waitara kasimsms tumsikilize, walevi wengi huwa wana busara.
tangu lini ccm ikamjali mtanzania? Wote ni wapiga dili huyo waziri makamba ni jipu.Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na Tanzania nzima kelele ni suala la mafuta na Bunge linalo wajibu mkubwa wa kuisimamia Serikali katika jambo husika.
Kigua amesema anaamini Serikali ya Tanzania itafanya jambo kama ambavyo Serikali nyingine duniani zinavyochukua hatua kwasababu wananchi hawawezi kulalamika halafu Serikali isichukue hatua yoyote.
Spika Tulia amesema pamoja na kwamba Waziri Mkuu ameshachukua kutua, hoja hiyo ambayo imeungwa mkono na wabunge wengi itajadiliwa na wabunge kama kazi yao ya kuishauri Serikali ifanye nini kwenye jambo husika.
MUSUKUMA;- Mafuta yaliyopanda juzi yamenunuliwa mwezi wa pili
Mbunge Joseph Kasheku amemshukuru Spika kwa kukubali kuwasikiliza na amesema kwa wao wanaotoka majimbo ya vijijini na kununua mafuta kwenye vidumu wananunua 5,000 kwa lita.
Musukuma ameiomba Serikali ieleze ukweli kwani mafuta yaliyopanda juzi yamenunuliwa mwezi wa pili. Musukuma amesema wafanyabiashara yeye akiwa mmojawapo wanacheza na namba.
Musukuma amesema iliwahi kushuka bei ya korosho na Serikali ilipeleka Jeshi ku-rescue suala la korosho na mpaka leo hakuna mtu anachezea bei ya korosho kwasababu wanajua Serikali inaweza kuingia kuchukua biashara.
Musukuma amesema kuna kuna kodi ziliwekwa kodi za mafuta, iangaliwe namna ya kuziondoa kwa dharula ya miezi mitatu ili mafuta yarudi kuwa chini.
Musukuma amemaliza kwa kusema nchi inakubalika kukopa kimataifa na inakopa hivyo wakope kufidia gharama ili mafuta yaweze kushuka, hakuna mtanzania atamudu na kudai hata wabunge linawapiga kwasababu wanalipwa mileage za kwenda vijijini na ya kwake inaishia Shinyanga.
Musukuma: Mheshimiwa spika mimi pia ni msafirishaji, yaani kwasababu watanzania tuna nidhamu ya kuiheshimu Serikali na kuwapa muda, hebu jiulize msafirishaji aliyekuwa anapeleka abiria kwa shilingi 30,000 Mwanza, leo mafuta yamefika 3,400 nauli bado 30,000 Hili haliwezekani, tukubaliane tuishauri Serikali na ije na kauli nzuri.
SONGE;- Serikali itafute fedha kupeleka ruzuku kwenye mafuta
Simon Songe: Naishauri Serikali mambo mawili, kwanza kutafuta fedha kwaajili ya kupeleka ruzuku kwenye mafuta walau kupunguza gharama za mafuta na kupunguza gharama za vitu vingine ambazo vinaenda kupanda bei.
Tuna tozo nyingi tumeweka kwenye mafuta kwaajili ya nchi na kwaajili ya bajeti tuliyoipitisha, sisi ndio wabunge na sisi ndio tulioipitisha, kuna haja ya kuangalia baadhi ya tozo tuweze kuziondoa kwa dharula kwa miezi miwili.
MHAGAMA;- Mafuta yamepanda kwa 92%
Joseph Mhagama: Kati ya mwezi January 2021 mpaka Mei 2022 mafuta ya petroli yamepanda kwa asilimia 92 kutoka Tshs 1,695 mpaka elfu tatu mia mbili na kitu.
Tozo mbili za fuel levy na exercise duty kwa pamoja zinachangia Tshs 792, waziri au Serikali waangalie ni namna gani tutatoka, tunajua umuhimu wa tozo za ujenzi wa mabarabara na maji hizo zibaki lakini nyingine tunaweza kupunguza matumizi ya Serikali tukaenda kuboresha maslahi ya watanzania.
KAKUNDA;- Kwanini Serikali isikope kupunguza maumivu
Joseph Kakunda: Nilikuwa Kenya na nilikutana na waziri wa fedha, nikamuuliza mmepata wapi fedha kwenye bajeti yenu za kutoa ruzuku karibu Tshs bilioni 900, akasema wamezikopa IMF. Kwanini sisi Serikali yetu isikope kwaajili ya kupunguza maumivu kama hayo.
Ningependa kuishauri Serikali yangu, wananchi wanahitaji kupata matokeo ya haraka. Kama kuna mbinu mbadala za kuagiza mafuta ambazo zitashusha bei ya mafuta kwa haraka basi zitumike badala ya mbinu ambayo sasahivi imesababisha ongezeko la bei ya mafuta.
WAITARA;- Zambia dizeli 2,470
Mwita Waitara: Nchi kama Zambia, dizeli ni 2,470 lakini tunajua mizigo yao wanapitisha hapa, dizeli Tanzania imetangazwa bei ya EWURA zaidi ya Tshs 3000, wamezungumza bei ya mafuta Zanzibar na wanajaribu pia kutugawa.
Ni jambo ambalo Serikali lazima ichukue hatua za dharula.
KASALALI;- Kuondoa tozo hakuepukiki
Mageni Kasalali: Naiomba Serikali katika hatua ambazo imeanza kuchukua, jambo la kuondoa tozo za Serikali kwenye mafuta ni jambo ambalo haliepukiki. Umefika wakati ni lazima sasa tuache kugeuza mafuta kuwa sehemu pekee ya kutafuta pesa, ni lazima tufikire njia nyingine kwa huu muda.
TAARIFA;- Sasisha ataka Serikali iuze madini yaliyokamatwa kusaidia uchumi
Sasisha: Pamoja na tozo hizi za kitaasisi, kuna fedha ambazo zipo kwenye madini, yale madini ambayo yamekuwa yakikamatwa kama faini sasahivi ni wakati sahihi Serikali iuze iweze kuingiza huku kama sehemu ya kusaidia uchumi wetu ikiwa ni pamoja na dhamana zinazowekwa mahakamani, ziletwe ziingie huku.
SHANGAZI: Tozo zilikuwepo miaka sita iliyopita na hazijawahi kuwa tatizo
Rashid Shangazi: Matumizi yetu kwa mwezi ni kama lita milioni 300, tungekuja na mpango wa 'stabilization fund'. Serikali ije iombe kibali kwa Bunge, wakakope japo bilioni 300, kila lita moja tuiwekee ruzuku ya Tshs 1,000 kila lita.
Hii itatusaidia kwamba hatutakwenda kugusa tozo pamoja na kodi nyingine kwasababu hizi tozo zilikuwepo miaka sita iliyopita na hazijawahi kuwa tatizo. Kwahiyo leo sio kwamba mafuta yamepanda bei tatizo ni hizi tozo, tozo zinatusaidia kwenye mambo mengine kama kupeleka umeme vijijini, barabara, maji nk.
Tanzania kuna bunge la kipuuzi , hatutegemei makubwa kutoka kwao.
You are rightMaza ako ndiyo analinganisha
Wanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu...
Tiwekee na tuu thibitisho thibitishoMwezi february mafuta yalipanda bei, mwezi March yakapanda tena, April tena na May nayo yamepanda.
Je haya mafuta yanayopanda bei yaliagizwa lini?
Hivi Russia na Uarabuni ni wapi mbali kutokea Tanzania? Uarabuni nako kuna vita?
Hivi vita ya Urusi na Korona ipi ilipaswa kutuletea mfumuko wa bei?
Tatizo hapa ni serikali tuliyonayo tusidanganyane
Akili ya Kutoa misifa kila leo.Wanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea...
Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na Tanzania nzima kelele ni suala la mafuta na Bunge linalo wajibu mkubwa wa kuisimamia Serikali katika jambo husika.
Kigua amesema anaamini Serikali ya Tanzania itafanya jambo kama ambavyo Serikali nyingine duniani zinavyochukua hatua kwasababu wananchi hawawezi kulalamika halafu Serikali isichukue hatua yoyote.
Spika Tulia amesema pamoja na kwamba Waziri Mkuu ameshachukua kutua, hoja hiyo ambayo imeungwa mkono na wabunge wengi itajadiliwa na wabunge kama kazi yao ya kuishauri Serikali ifanye nini kwenye jambo husika.
MUSUKUMA;- Mafuta yaliyopanda juzi yamenunuliwa mwezi wa pili
Mbunge Joseph Kasheku amemshukuru Spika kwa kukubali kuwasikiliza na amesema kwa wao wanaotoka majimbo ya vijijini na kununua mafuta kwenye vidumu wananunua 5,000 kwa lita.
Musukuma ameiomba Serikali ieleze ukweli kwani mafuta yaliyopanda juzi yamenunuliwa mwezi wa pili. Musukuma amesema wafanyabiashara yeye akiwa mmojawapo wanacheza na namba.
Musukuma amesema iliwahi kushuka bei ya korosho na Serikali ilipeleka Jeshi ku-rescue suala la korosho na mpaka leo hakuna mtu anachezea bei ya korosho kwasababu wanajua Serikali inaweza kuingia kuchukua biashara.
Musukuma amesema kuna kuna kodi ziliwekwa kodi za mafuta, iangaliwe namna ya kuziondoa kwa dharula ya miezi mitatu ili mafuta yarudi kuwa chini.
Musukuma amemaliza kwa kusema nchi inakubalika kukopa kimataifa na inakopa hivyo wakope kufidia gharama ili mafuta yaweze kushuka, hakuna mtanzania atamudu na kudai hata wabunge linawapiga kwasababu wanalipwa mileage za kwenda vijijini na ya kwake inaishia Shinyanga.
Musukuma: Mheshimiwa spika mimi pia ni msafirishaji, yaani kwasababu watanzania tuna nidhamu ya kuiheshimu Serikali na kuwapa muda, hebu jiulize msafirishaji aliyekuwa anapeleka abiria kwa shilingi 30,000 Mwanza, leo mafuta yamefika 3,400 nauli bado 30,000 Hili haliwezekani, tukubaliane tuishauri Serikali na ije na kauli nzuri.
SONGE;- Serikali itafute fedha kupeleka ruzuku kwenye mafuta
Simon Songe: Naishauri Serikali mambo mawili, kwanza kutafuta fedha kwaajili ya kupeleka ruzuku kwenye mafuta walau kupunguza gharama za mafuta na kupunguza gharama za vitu vingine ambazo vinaenda kupanda bei.
Tuna tozo nyingi tumeweka kwenye mafuta kwaajili ya nchi na kwaajili ya bajeti tuliyoipitisha, sisi ndio wabunge na sisi ndio tulioipitisha, kuna haja ya kuangalia baadhi ya tozo tuweze kuziondoa kwa dharula kwa miezi miwili.
MHAGAMA;- Mafuta yamepanda kwa 92%
Joseph Mhagama: Kati ya mwezi January 2021 mpaka Mei 2022 mafuta ya petroli yamepanda kwa asilimia 92 kutoka Tshs 1,695 mpaka elfu tatu mia mbili na kitu.
Tozo mbili za fuel levy na exercise duty kwa pamoja zinachangia Tshs 792, waziri au Serikali waangalie ni namna gani tutatoka, tunajua umuhimu wa tozo za ujenzi wa mabarabara na maji hizo zibaki lakini nyingine tunaweza kupunguza matumizi ya Serikali tukaenda kuboresha maslahi ya watanzania.
KAKUNDA;- Kwanini Serikali isikope kupunguza maumivu
Joseph Kakunda: Nilikuwa Kenya na nilikutana na waziri wa fedha, nikamuuliza mmepata wapi fedha kwenye bajeti yenu za kutoa ruzuku karibu Tshs bilioni 900, akasema wamezikopa IMF. Kwanini sisi Serikali yetu isikope kwaajili ya kupunguza maumivu kama hayo.
Ningependa kuishauri Serikali yangu, wananchi wanahitaji kupata matokeo ya haraka. Kama kuna mbinu mbadala za kuagiza mafuta ambazo zitashusha bei ya mafuta kwa haraka basi zitumike badala ya mbinu ambayo sasahivi imesababisha ongezeko la bei ya mafuta.
WAITARA;- Zambia dizeli 2,470
Mwita Waitara: Nchi kama Zambia, dizeli ni 2,470 lakini tunajua mizigo yao wanapitisha hapa, dizeli Tanzania imetangazwa bei ya EWURA zaidi ya Tshs 3000, wamezungumza bei ya mafuta Zanzibar na wanajaribu pia kutugawa.
Ni jambo ambalo Serikali lazima ichukue hatua za dharula.
KASALALI;- Kuondoa tozo hakuepukiki
Mageni Kasalali: Naiomba Serikali katika hatua ambazo imeanza kuchukua, jambo la kuondoa tozo za Serikali kwenye mafuta ni jambo ambalo haliepukiki. Umefika wakati ni lazima sasa tuache kugeuza mafuta kuwa sehemu pekee ya kutafuta pesa, ni lazima tufikire njia nyingine kwa huu muda.
TAARIFA;- Sasisha ataka Serikali iuze madini yaliyokamatwa kusaidia uchumi
Sasisha: Pamoja na tozo hizi za kitaasisi, kuna fedha ambazo zipo kwenye madini, yale madini ambayo yamekuwa yakikamatwa kama faini sasahivi ni wakati sahihi Serikali iuze iweze kuingiza huku kama sehemu ya kusaidia uchumi wetu ikiwa ni pamoja na dhamana zinazowekwa mahakamani, ziletwe ziingie huku.
SHANGAZI: Tozo zilikuwepo miaka sita iliyopita na hazijawahi kuwa tatizo
Rashid Shangazi: Matumizi yetu kwa mwezi ni kama lita milioni 300, tungekuja na mpango wa 'stabilization fund'. Serikali ije iombe kibali kwa Bunge, wakakope japo bilioni 300, kila lita moja tuiwekee ruzuku ya Tshs 1,000 kila lita.
Hii itatusaidia kwamba hatutakwenda kugusa tozo pamoja na kodi nyingine kwasababu hizi tozo zilikuwepo miaka sita iliyopita na hazijawahi kuwa tatizo. Kwahiyo leo sio kwamba mafuta yamepanda bei tatizo ni hizi tozo, tozo zinatusaidia kwenye mambo mengine kama kupeleka umeme vijijini, barabara, maji nk.
Na uhalali,au kukataliwa hupewa kibali na mwenye uweza ,ila kisicho halali hawezi kukibariki ila kilicho halali hubarikiwa na kulindwa Kwa uweza wake .Hivyo pindi watakapo acha uovu na kuipenda haki katika yote na katika hatua zote ndipo watakapo kubalika Dunia na mbinguniMajizi ya kura sioni kama wana lolote jipya.
Wanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa...
Huyo p na apewe anachohaha kuitafuta,kwani hata anaowapigania hawamwoni au Wana mpango nae🤔Ndugu Mayalla halafu hapo baadaye unaenda kumtetea Zitto. Yuko kimya kwenye matatizo makubwa yote ya sasa. Anakulipa kiasi gani? Au sababu ni usalama mwenzako?
Teh teh wanataka kuirudishaNahisi kodi ya tv license iko njiani kama mapato mapya.
PoaYou are right