Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

asante kwa vionjo mkuu
 
Ninja Kange kashafanywa Mbuzi wa kafara.
Kuna mtu hapa anasema Kange anapesa ndefu kabla hata ya kuwa Waziri.
Wazee wa Mwibara ongezeni nyama kwenye hilo
Mbuzi wa Pasaka kaka, yaani jamaa washamtazamisha Kibra...... watu wanakugeuka sekunde aisee!!
 
Tatizo sio Kangi, tatizo lipo kwenye mfumo wa manunuzi. Hivi jeshi la polisi haliwezi kuwa na kitengo cha ushonaji wa sare zake au majeshi mengine kama magereza au kuwatumia wafungwa wenye ujuzi wa ushonaji waweze kushona sare za majeshi yetu na kuwawezesha wafungwa watengeneze kipato cha kuanzia maisha wanapomaliza kifungo!!
 
Asante sana, ujumbe umewafikia mubashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bungeni harudi Tena !tayari MWENYEKITI ccm mara kashasema watamukalia kooni watamhoji kulingana na kashifa inayomkabili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wa ccm wanapangiwa cha kuchangia na Humphrey polepole , hawako huru hata chembe
 
Inaelekea hata jina lake halitapitishwa kugombea ubunge wa jimbo lake. Pole sana Lugola kwa kupata ajali hiyo. Dunia hii ndivyo ilivyo. Kuna kupanda na kushuka, kuna kutajirika na kufukarika na kadhalika. Karibu sana kwenye umachinga tujumuike kuijenga nchi na punde si punde usishangae Zitto Kabwe akajiunga na sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…