Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

Ila napata mashaka na kwamba mtu akiondokewa na mke kuna madhara kama ataanza kuruka na milupo!
Baada ya Kangi kufiwa haikuchukua muda mrefu akaanza vituko vya kukatika katika mauno hadharani. Nadhani alipata mmakonde akamkatia mauno hivyo kila akisikia midundo anajisikia kunengua.
Nampa pole sana muzee!View attachment 1341106

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa vionjo mkuu
 
Ninja Kange kashafanywa Mbuzi wa kafara.
Kuna mtu hapa anasema Kange anapesa ndefu kabla hata ya kuwa Waziri.
Wazee wa Mwibara ongezeni nyama kwenye hilo
Mbuzi wa Pasaka kaka, yaani jamaa washamtazamisha Kibra...... watu wanakugeuka sekunde aisee!!
 
Tatizo sio Kangi, tatizo lipo kwenye mfumo wa manunuzi. Hivi jeshi la polisi haliwezi kuwa na kitengo cha ushonaji wa sare zake au majeshi mengine kama magereza au kuwatumia wafungwa wenye ujuzi wa ushonaji waweze kushona sare za majeshi yetu na kuwawezesha wafungwa watengeneze kipato cha kuanzia maisha wanapomaliza kifungo!!
 
wabunge wa CCM wanafiki wakubwa walimponda sana CAG wakiongozwa na Spika na huyo Lugola alidiriki kusema sare zilinunuliwa na zipo hakuna mtu mwongo kama CAG wakapiga makofi leo hii hiyo ripoti ya ASSAD wanaitumia kumsulubu Kangi, wanafiki wakubwa nyie
Asante sana, ujumbe umewafikia mubashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bungeni harudi Tena !tayari MWENYEKITI ccm mara kashasema watamukalia kooni watamhoji kulingana na kashifa inayomkabili

Sent using Jamii Forums mobile app
- Time Is Everything ( 359 X 640 ).jpg
 
Musa Assad alionewa sana. Lakini cha ajabu ni kwamba Jana wakati Mwenyekiti wa PAC anasema hayo wale wale waliopiga makofi na kushangilia wakati Lugola anamuita Assad kuwa ni "muongo", haohao wamepiga na kushangilia tena!! Wana CCM ni sawa na manyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wa ccm wanapangiwa cha kuchangia na Humphrey polepole , hawako huru hata chembe
 
Inaelekea hata jina lake halitapitishwa kugombea ubunge wa jimbo lake. Pole sana Lugola kwa kupata ajali hiyo. Dunia hii ndivyo ilivyo. Kuna kupanda na kushuka, kuna kutajirika na kufukarika na kadhalika. Karibu sana kwenye umachinga tujumuike kuijenga nchi na punde si punde usishangae Zitto Kabwe akajiunga na sisi!
 
Back
Top Bottom