Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
asante kwa vionjo mkuuIla napata mashaka na kwamba mtu akiondokewa na mke kuna madhara kama ataanza kuruka na milupo!
Baada ya Kangi kufiwa haikuchukua muda mrefu akaanza vituko vya kukatika katika mauno hadharani. Nadhani alipata mmakonde akamkatia mauno hivyo kila akisikia midundo anajisikia kunengua.
Nampa pole sana muzee!View attachment 1341106
Sent using Jamii Forums mobile app