Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Yuko nyuma ya nondo mda sanakashatumbuliwa, sasa hivi anatakiwa awekwe nyuma ya nondo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko nyuma ya nondo mda sanakashatumbuliwa, sasa hivi anatakiwa awekwe nyuma ya nondo.
Akiangalia clip zake wakati ni Waziri sijui anajisikiaje........
Akiangalia clip zake wakati ni Waziri sijui anajisikiaje........
Hapa duniani kuwa Ogopa na kuwa makini na
Power,popularity,prestige,property na pomposity......
Hayo yote ndiyo yanamtafuna saizi
Ukiona mtu anataka aonekane ni zaidi ya wote, halafu anaweka na mbwembwe nyingi kuonekana zaidi ya wengine, weka alama ya kuuliza.
Ile kuweka viraka vya bendera ya Taifa mpaka kwenye mashati, kama vile yeye ni mtanzania kuliko wengine. Kutembea ameshikilia ilani ya CCM kama vile yeye ni mwanaCCM kuwazidi wengine, ni dalili ya uovu anaotaka kuuficha kwa mbwembwe nyepesi nyepesi.
Mwigulu naye kuvaa skafu ya bendera ya Taifa kama vile yeye ni mtanzania zaidi kuliko wengine, ni jambo kujiuliza.
Mwalimu hakuwahi hata kuvaa kofia yenye bendera ya Taifa - ina maana akina Lugola na Mwigulu wamemzidi utaifa hata Baba yetu wa Taifa!!!
Daah aisee na hivi alikuwa anawazingua zingua police,lazima nayeye wamlipueNa sa hivi itakua vijana wa usalama wanawapenyezea wabunge wa ccm/cdm vimeo vya Kange akiwa madarakani ili wakaviongee vzr huko bungeniikurano yao.
dodge
BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea).
Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba alilipotosha bunge kuhusu ununuzi wa sare hizo.
“Kwa hiyo Kangi alilipotosha bunge kwa kuapa kwamba, atatoa nguo kama sare hazipo, inamaana hasomi hata taratibu,” amesema Kaboyoka.
Mwenyekiti huyo wa PAC amemkalia kooni Lugola, akimtaka aeleze sare hizo zilinunuliwa kutoa wapi pamoja na gharama zilizotumika kununua sare hizo.
“Huyo aliyepewa tenda alipatikanaje, sare zililetwa kutoka wapi, kiasi cha fedha iliyotumika ni ngapi? “ amehoji Kaboyoka.
Kaboyoka amesema Lugola akitoa maelezo hayo, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) atafuatilia sakata hilo, ili kujua kama idadi ya sare aliyoitoa, inaendana na idadi halisi iliyopo.
“Kuanzia hapo ndio CAG aweze kwenda stoo kujua kuna nini kutokana na zile ripoti, aone kwamba zile sare ziliagizwa mia na zimekuja mia, kinyume na hapo CAG hawezi kutoka akaenda kwenye stoo akaangalia kitu ambacho hana nyaraka zinazoonyesha kilichomo,” amesisitiza Kaboyoka.
“Nanyanyua mikono juu itakapofika jioni kama mimi nasema uongo kwamba hakuna sare hewa, najivua nguo, kamati ya mambo ya ulinzi na usalama na maofisa ya CAG twende stoo kuu tukaangalie makontena 15 na magodauni 5 yamesheheni sare za vitambaa. Nauweka uwaziri wangu rehani kama mimi nasema uongo,” Lugola aliapa bungeni.
Lugola pia alimtuhumu Profesa Mussa Assad, aliyekuwa CAG kwamba alisema uongo katika ripoti yake, juu ya ununuzi wa sare hizo.
“CAG amelihusisha Jeshi la Polisi na kashfa ya sare hewa, na kwamba sare hizi ni za bilioni 16.6. Kwa heshima na taadhima kwa moyo mkunjufu, kwa mikono yangu meupe nikiwa kama waziri makini, ambaye naitakia mema nchi hii, natetea rasilimali za Watanzania na tumuogope Mungu, sijawahi kuona mtu muongo kama CAG,” alisisitiza Lugola.
Kwa sasa Lugola anakabiliwa na kashfa ya kuingia mkataba wa kifisadi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, ambapo anahojiwa na TAKUKURU.
Lugola anahojiwa na TAKUKURU baada ya Rais John Magufuli kuiagizataasisi hiyo kuchunguza mkataba huo, kwa ajili ya kujua wahusika ili wachukuliwe hatua.
Chanzo: Mwanahalisi
View attachment 1340857
Hakuna chochote kitakacho mpata.. wote wako boti moja sema ye kawatangulia bila kutaka kushea sungura aliye mtega.. mwisho wa siku atakuwa huru tu .... Hii Ni siasa ya TanzaniaLaana ya kusema uongo haitamwacha salama
View attachment 1340916
Sihivyo rais alimchagua kuwa waziri akiwa ametoka kutuhumiwa kufanya ufisadi unafki ni janga LA taifaHapa ndiyo linapo anzia tatizo la viongozi wetu, hili sakata halikuanza leo hii bali ni kipindi cha nyuma nakumbuka wakati Lugola akimtuhumu CAG kuwa ni muongo hao hao wajumbe wa kamati hii walikuwa wanamshangilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hi Sentesi yako ni nzito,ingekuwa imetolewa na Ballack Obama,Tony Blair ingekuwa ni ya kimataifa ila kwa kuwa ni ya Avacacado...... 😀 😀 😀Maisha ya usanii kwenye utumishi wa uma huwa hayadumu
Ila napata mashaka na kwamba mtu akiondokewa na mke kuna madhara kama ataanza kuruka na milupo!Watamuua vibaya huyu mzee... Sijui kafeli wapi maskini ya Mungu
Jr[emoji769]