Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,831
- 637
Tena kabisa leo asubuhi namsikia Naibu spika akihojiwa na Redio One Kumepambazuka kuhusu adhabu kwa mbunge atakaye toa lugha za matusi bungeni akawa anarudiarudia kuwa atatolewa nje na polisi sasa napata shida kuamini kama huyo alikuwa mbunge au mgeni mwalikwa
Hahahahahaha inkoskaz ur pro mdimu mnajua serukamba alichowafanya kwenye uchaguzi wa jumuiya za wazazi ccm, uwt, uvccm nmegundua unaposema aspewe kura ata na wife kumbe una ajenda ya kisiasa kwanini wasianze na mwigulu nchemba na nkamia polus hamis kgwagwala
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
wewe unapashwa upigwe ban.....hizi ni kama shout...HAWA JAMAA WAKO WAPI LEO???,
REJAO, RITZ, SUMU, STROKE, NEPI,FAIZA FOX, WINGU, MAJEBERE, LUKOSI, CHILISOSI, TASWIRA, MWIGULU MADEULU, WAKUFYOOOOOZWA... MWA MAKOTONI, KATIBA MPYA, et al.....,
AU NAO HILI LA FAKI YU LIMEWAUMA SANA, MAANA HAWA JAMAA AKILI ZAO ZIPO.......