BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Hivi ndio tuseme kina Juma Nkamia na Peter Serukamba ndio nao pia wanashiriki kututungia sheria za nchi hii????
 
Kwa timeframe ya 0.13s hadi 0.14s ukiirudia rudia unaisikia kwa uwazi kabisa namna alivyoropokwa huyu mheshimiwa wa mabua...
 
hajakosea ni style yenu mpya alianza membe kusema atawachapa maadui zake 11 wanasiasa plus waandshi wawili wa habari, akaja nchemba nchemba, lusinde,nkamia na sasa huyu mpnzani wenu serukamaba
 
Jamani sasa bunge liwe rated 18, nimemsikia serukamba bila chenga akisema "come on fu**k you'. Tunakwenda wapi. Hii sasa imevuka mipaka, wananchi tuwawajibishe watu kama hawa, wanatufunza nini.

Mkuu hili ni bunge ama bange?
Afu hawa jamaa wanarudi nyumbani watoto wanawapokea. Juzi tu mmoja kasema impotent wacha mapovu yawatoke
 
ZeMarcopolo njoo uone Chadema wanavyotukana aisee.....hizi mbinu zenu za kutuwekea maneno hizi mtashindwa
 
Last edited by a moderator:
Mkwara wa Spika naona ulikuwa ni wa kuwatishia wapinzani...ILA NAONA WAKIPIGANA ADABU ITARUDI MAHALA PAKE...Wapewe viti vya kawaida waweze kuvitumia kurudishiana ADABU.
 
Me nna uhakika wabunge wa CCM hawajuI kiingereza.so huenda hata ndugai hajui maana pamoja na viraza wenzie..juzi walikomalia neno IMPOTENCE wakidhani lina maana moja tu la uhanithi..ni ujingaa..wanawaza ngono tu wajinga hao...pumbavu zenu
 
ndo maana walikuwa wanataka bunge lisirushwe live ili wakishatukanana waedit ndo watuoneshe
 
Mna uhakika haya maneno kayasema serukamba? leteni ushahidi wa video.....Chadema mna mbinu chafu sana
 
mkuu kitila mkumbo, huo ndio ukweli wenyewe ULIOSEMA, lakini tatizo la sisi watanzania siyo watu wa vitendo, na ukiweka na njaa hizi (tumbo) na vijana wengi kukosa ajira ndio maana wako tayari kushupalia mambo yasiyo ya maana hata kwa kuhongwa ubwabwa, fulana, elfu 7, elfu hamsini. Huku mambo ya msingi kama haya wakiyapa kisogo
CC.. LUMUMBA TEAM( TASWIRA, WINGU, REJAO, RITZ, KATIBA MPYA, SUMU, STROKE.....) LEO HAWA VIJINA WATAKUFA NJAA HAWAJAPOSTI KITU HUMU... NAONA KIKOSI KAZI KINAPANGA MASHAMBULIZI YA LWAKATALE PART 100


View attachment 90329

Na wapo kwenye kikao Lumumba.. Ritz . Sumu naona @Rejeo naona Ritz kavaa shati la sanda yake.. pembeni Mwigulu Nchembe na mzee wa meno ya tembo
 
Last edited by a moderator:
ata mmm nmeona guest weng sana......wakipewa rushwa wale kura waspge kwa walivyofanya dom chaguz za chama chao lowasa akawatrrsha
 
Halafu Job Ndugai kasema MWEHESHIMIA PETER SELUKAMBA ENDELEA!!!

Akimaanisha Serukamba aendelee kutukana. Huyu Ndugai hastahili hata kuwa monita wa darasa la pili, seuse u naibu spika wa bunge. CCM ni janga la kidunia kwa kweli...
 
ukistaajabu ya Nkamia utayaona ya Serukamba ccm oyeeeeeeeeeeeee naona ndio wanaga bunge hivyo
 
Inategemeana na mazingira, kama unaongea point halafu mtu anakuja na pumba badala ya mchele kwa nini asimbulie tusi japo kidogo? Under similar circumstances we would just be like him..! Its only a fool who condemn, blame and complain..!
 
Tunasubiria kipindi cha jioni tumwone Ndugai atachukua hatua gani.😛layball:
 
Back
Top Bottom