BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Spika wa bunge ametangaza kuwa mbunge yeyote atakayetoa lugha ya matuzi bungeni ataitiwa polisi na kisha kutolewa nje ya ukumbi wa bunge. Kabla ya kumtoa mbunge, spika itabidi ajiridhishe kuwa kauli ya mbunge ni tusi au sio tusi.

Kwasababu hiyo basi, mimi nashauri kuwa wakati wa vikao vya bunge mezani kwa spika kuwepo na kamusi mbili yaani ya ya lugha ya Kiswahili na ya kiingereza ambazo ambazo ndizo lugha rasmi. Hizi zitamsaidia spika kuamua kabla ya kumtoa mbunge nje.

Mfano mbunge Serukamba ametumia lugha ya matusi leo kwa kiingereza lakini spika hakuchukua hatua yoyote kama alivyoahidi. Hii inaweza kuwa ni kutokana na spika mwenyewe kutoielewa vizuri lugha ya kiingereza hivyo kutokugundua kuwa ni tusi. Wakati fulani kulitokea ubishani kati ya mwanasheria mkuu Jaji Werema na Tundu Lissu kuhusu neno fulani la kiingereza.

wakati huo jaji alisema neno walilokuwa wakibishania halipo katika kiingereza wakati Lissu akisisitiza kuwa hilo ni neno la kiingereza na mwishoni Tundu akamwambia jaji "hujui kiingereza" na jaji akanyamaza kimya! Sasa ingekuwepo kamusi ya kiingereza pale ingekuwa rahisi ingekuwa rahisi kumaliza ubishi.

Nashauri pia bunge liajiri wataalamu wa lugha(linguists) na wataalamu wa hotuba au wale wa mass communication ili waweze kuwasaidia viongozi wa bunge na wabunge kwa kutoa semina za mara kwa mara. Vingenevyo midomo kama ya Lusinde, Nkamia, Serukamba, Kigwangala itaendelea kutoa harufu mbaya ya lugha kutokana na kukosa elimu ya mawasiliano kwa umma.
 
Ingekuwa kwa nchi zilizostaraaribika kwa kutumia neno kali kama hili katika ukumbi muhimu kama Bunge wananchi wangeandamana kumtaka ajiuzulu, hata kabla hajachukuliwa hatua. Kwetu huku kila kitu ruhsa madamu tu uwe CCM!! We are doomed so long as we continue allowing this party to lead our dear country. Tunapaswa kuachana na kila kitu kwa sasa hivi tushughulikie kwanza kuwatoa hawa jamaa madarakani, ndio tuanze kufanya mambo mengine.

Bungeni kuna matusi mengi tu na mengine wanatoa hao ambao unawataka waratibu maandamano.

Wamalizane tu huko huko bungeni, wakumbuke tu kuwa wananchi wanataka maendeleo wakishamaliza kutukanana.
 
Nami nimeisikiliza clip husika, kwa hakika Serukama ametukana, kilichomtoka mdomoni siamini kama kinawapendeza hata wenzange wa CCM, inatia huruma kuwa na Chama chenye wabunge walioishiwa hoja na uvumilivu wa kisiasa na kutukana bungeni ambapo coverage yake ni kubwa na inatazamwa popote pale duniani. Nchi yetu imeaibishwa na kuwa na mbunge "-----" kama huyu

Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie


Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe









https://soundcloud.com/newsaddict/s...nt=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
 
WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.

hata Lukuvi leo nimemsikia kwenye radio akisema wananchi tunatakiwa kumsema mbunge husika na sio kulisema bunge zima hivyo mi nazani wananchi waliomchagua Serukamba wanatakiwa kumuajibisha mbunge wao 2015
 
Kwa staili hii wanayoenda nayo wabunge wetu tutashuhudia na kusikia mengi. Wanavuka mipaka sasa.
 
This is totally rubbish! Mama Speaker has to act and punish this idiot.
 
Nimesikitishwa mno na kitendo cha Serukamba kutukana wabunge wenzake. Kitendo kile ni cha kishenzi na kinatakiwa kipingwe na watu wote wastaarabu regardless ni wa chama gani. Wakati umefika kwa Spika kufanya kile alichokiadi! Matusi kama haya hayana nafasi kabisa katika Bunge letu. Kama spika aatamua kutokumchukulia hatua, basi wananchi tuaandamane na tuombe yeye Spika ajiuzulu.
 
duh kaanza Nkamia, serukamba ana busara sana sna hakika ngoja nifatilie isije ikawa ni wanamdmu wamamhujumu cz hii thread naona vjana wa nape wengi wapo kama guest angalia mwsho wa uzi mwana JF
 
Rufiji nazan tuanze kumshtaki membe aliyesema ana maadui 11 wanasiasa 9 ana waandshi wawili amabao atapga kwa mkono wake na wengne akipata urais atawapeleka uhamishon kenye najua urais hawez kupata ila kwa hali inayotokea kwa waandshi na wanasiasa apa nchini kwa sasa ni wakat wa kumuhoji membe kwa kauli yake...dn tuwahoji na kna nchemba na nkamia kwa matusi yao....i know mmetumwa bt waambie watanzania tunaujua mchezo wa membe
 
mleta mada,Rufiji,wingu, tume ya katba,bungeni na kund lenu nazan tuanze kumshtaki membe aliyesema ana maadui 11 wanasiasa 9 na waandshi wawili amabao atawapga kwa mkono wake na wengne akipata urais atawapeleka uhamishon kenya najua urais hawez kupata ila kwa hali inayotokea kwa waandshi na wanasiasa apa nchini kwa sasa ni wakat wa kumuhoji membe kwa kauli yake...dn tuwahoji na kna nchemba na nkamia kwa matusi yao....i know mmetumwa bt waambie watanzania tunaujua MCHEZO WA MEMBE NA KUNDI LAKE VZURI
 
Kasema f.a.k.y.u da!c walisema ukitukana wanaita polisi ngoja tuone ccm bana
Bado unasubiri? Ndo ishatoka hiyo....kama nilimwelewa, Makinda alisema mbunge akitukana anaita polisi na sio ataita!! I don't believe kama haya mambo yanatokea kutoka kwa watu wazima!!
 
Mtamalizana wenyewe kwa siasa zenu za makundi .....mliyaanzsha, mkayalea sasa yanawamaliza na 2015 mtaikabidhi chadema nchi anzen kuhamisha mali
 
Matusi ya Serukamba yanazungumza mengi kuhusu kiburi cha wabunge wa CCM pamoja na chama chao. Bunge ni moja kati ya mihimili mitatu ya taifa letu. Na ni wajibu wa kila mbunge kuheshimu nafasi hiyo adimu wananchi waliompatia. Kitendo alichofanya Mpumbavu (siwezi kutumia neno Mheshimiwa kwa mtu kama huyu) Serukamba ni kitendo kinachomzalilisha yeye mwenyewe, Chama Chake na mbaya zaidi wananchi waliomchagua. Wakati umefika kwa Wabunge CCM kuja mbele na kukemea matusi ya Serukamba! Kama hawatafanya hivyo basi wananchi hatutofautisha wao na Mpumbavu Serukamba.
 
Back
Top Bottom