BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Nawashauri wa bunge wangu wa chadema wa stick kwenye hotuba maana lengo la kusema watakao tukana wata tolewa nje ni mtego kwa wabunge wa chadema!

Haiwezekani mtu tena mbunge kutukana tusi tena la kudhalilisha namna hiyo na kiti cha spika kiko kimya! Yani hadi clip imewekwa hapa ina maana spika hakusikia? Mbona clip inaonesha bila hata changa na ana sikika vyema!

Ni vyema wabunge wa chadema wakawa makini naona ccm wanataka kulazimisha bunge lisioneshwe kwa kuporomosha matusi!
 
Peter serukamba mdaa huu amesimama na kuomba radhi kutokana na kutukana, wenje naye anaomba mwongozo kuhusu kauli ya spika kuwa mtu atayetukana bungeni atatolewa bungeni na polisi, ndungai ameahidi kulitolea mwongozo baadae
 
Mh Wenje kapigilia msumari kuwa hata kama mbunge akiomba radhi hayaishii hapo..kulingana na agizo la spika la jana kuwa anayetukana bungeni apelekwe polisi
Je mwizi akiiba akiomba radhi kosa linafutika??

hizi ni sarakasi!! Uhuni.!!
 
Hivi hili neno kwa kiswahili latamkwaje? kilugha zingine ni
Kispanyola- vete a la mierda
Kichina - 你他妈的
Kidenish ----- dig
Kifilipino - magkantot sa iyo
Kifaransa - va te faire foutre
Kijerumani - fick dich
Kigujarat - તમે વાહિયાત
Kitaliano - vaffanculo
Kijapani - 性交
Kinorwiji - knulle deg
Kirusi - пошел на хуй
Kispanishi - vete a la mierda
Kiswidi - knulla dig
 
acha kufariji Chama Cha Matusi,nambie mpinzani alowahitoa tusi kubwa ivyo..nadhani ni mbunge wa kwanza toka chama cha wahuni mafisadi..ndo mmeendelea kujimaliza
Wewe mwenyewe tayari umeshatukana matusi makali wakati unamkosoa huyo Serukamba.Unamaana watanzania wote walioichagua CCM ni wahuni?Hiyo moral authority ya kumnyooshea huyo jamaa kidole huna kwa vile na wewe ni sawa na huyo jamaa.
 
Mheshimiwa Selukamba ameomba radhi kwenye kikao cha jioni hii.
 
Mkuu NasDaz, ukitaka kuamini, Chukua wale watoto wa primary, uwapeleke bungeni Dodoma, kama kawaida bi kiroboto, atakutambulisha na kusema, waliopo kwenye Spika galary ni wageni wetoto watoto wa shule ya msingi..Bunge Dar, ni jirani zetu, wamekuja kwa MAFUNZO na wameletwa na NasDaz.

Kisha mtasimama, baada ya dakika kumi, watoto wataanza kulia na kutoa... watoto wote watakimbia na kuanza kukupiga,

Mkuu, Ilitoke watoto wapo Bungeni-mafunzoni- walimuona Wassira akijibu hoja- alijibu kwa ukali sana, mpaka watoto wakaogopa...
Kwa hali inayoendelea sasa, Bungeni si mahala salama tena, si tu kwa watoto bali hata kwa watu wazima waungwana!
 
Sikufanikiwa kuangalia bunge coz umeme kwetu hakuna tangu jumapili.
Huyo mtoa tusi kachukuliwa hatua gani? Polisi waliingia kumtoa? Spika je, alitoa tamko? Msaada tafadhali
 
Sikufanikiwa kuangalia bunge coz umeme kwetu hakuna tangu jumapili.
Huyo mtoa tusi kachukuliwa hatua gani? Polisi waliingia kumtoa? Spika je, alitoa tamko? Msaada tafadhali
sikiliza audio link hapo juu
 
Hivi hili neno kwa kiswahili latamkwaje? kilugha zingine ni
Kispanyola- vete a la mierda
Kichina - 你他妈的
Kidenish ----- dig
Kifilipino - magkantot sa iyo
Kifaransa - va te faire foutre
Kijerumani - fick dich
Kigujarat - તમે વાહિયાત
Kitaliano - vaffanculo
Kijapani - 性交
Kinorwiji - knulle deg
Kirusi - пошел на хуй
Kispanishi - vete a la mierda
Kiswidi - knulla dig

Kiswahili je?
 
Mama mkuu'alihaidi kuwa mbunge yeyote akitukana atampeleka police,je serukamba kashapelekwa police?
 
Sidhanu kama kweli huyu atakuwa na akili timamu yani jitu zima la ovyoo,litizime na kipara chake kama nyara :crying:
 
Back
Top Bottom