BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

nIMEISIKILIZA CLIP YA AUDIO JAMAA ALIZUGA KUPUNGUZA SAUTI ILA NIMEMSIKIA CLEAR BILA CHENGA HALAFU NAIBU SPEAKER KAMWAMBIA AENDELEE KWANI NI NAFASI YAKE KAPEWA KUONGEA. KWELI MBOMBO NGAFU
 
Ni jaribu kubwa kwa Spika. Baada ya amri yake ya jana mtu wa kwanza kutukana ni kutoka Chama chake, nafikiri hakutarajia hii. Tusubiri maamuzi na hasa baada ya Mh Serukamba kuomba kauli yake ifutwe.
 
katika kile kilichoonekana mgongano wa kikanuni kufuatia kusomwa kwa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani,mh.peter serukamba amesikika waziwazi kabisa akitoa tusi mbele ya bunge na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake.

Bila woga wala aibu ya kuwa huenda anasikilizwa na wakwe au watoto,amesikika akisema "come-on f.u.c.k y.o.u."

na kwa bahati mbaya sana ndani ya ukumbi wa spika walikuwepo wanafunzi wa shule wasichana. Spika nae alikuwa amekalia kiti chake cha ubunge. What embarassment!! Natarajia kilio kikubwa toka kwa wadau wa maadili!!!
 
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie


Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe









https://soundcloud.com/newsaddict/s...nt=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba


ameomba radhi lakini sjui anakulaga mmea kidogo kabla ya kuingia mjengoni .msikie akiomba radhi https://soundcloud.com/newsaddict/mheshimiwa-akiomba-radhi
 
Kwa upeo wa Serukamba nimemshangaa kujiingiza kwenye operation chaos ya nape,mwigulu na wile malecela
 
Sijui kama wananchi wa Kigoma walimtuma kusema hivyo au ndio hitaji lao kuu kwenye bajeti hii.Sina hakika kama huu ndio msimamo wa chama chake CCM na ni sera yao. Aidha kama chama chake kina mwenyekiti makini anayejali hisia za watu wake, basi atatoka mbele haraka na kukwemea tabia hii hadharani. Huu ni mtihani kwa Spika kuonesha kuwa anamaanisha anachokisema au anasibitisha kuwa yeye ni dhaifu aliyejaa upendeleo wa dhahili na wa kificho. Pamoja na hayo, kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, na mwenyekiti wa wabunge wa CCM tutaona uadilifu wao kwa kumkana na kumtenga mtukanaji huyu mbele ya vyombo vya habari. TBC1 iwaombe radhi watazamaji na wasikilizaji wote kwa kulweta matangazo ambayo ni kinyume na maadili kwa gharama ya kodi za wananchi.Tendwa nae atoe neon juu ya hili. Kinyme na hapo, sisi wananchi tutapata maana nyingine ya CCM, yaani...Chama Cha Matukano.
 
..... Aidha kama chama chake kina mwenyekiti makini anayejali hisia za watu wake, basi atatoka mbele haraka na kukwemea tabia hii hadharani. Huu ni mtihani kwa Spika kuonesha kuwa anamaanisha anachokisema au anasibitisha kuwa yeye ni dhaifu uadilifu wao kwa kumkana na kumtenga mtukanaji huyu.....

Aisee, unamjua MWENYEKITI unayemwongelea au unamsikia tu?
 
na kwa bahati mbaya sana ndani ya ukumbi wa spika walikuwepo wanafunzi wa shule wasichana. Spika nae alikuwa amekalia kiti chake cha ubunge. What embarassment!! Natarajia kilio kikubwa toka kwa wadau wa maadili!!!

...pole ndugu, kama ulikua hujui hao wanafunzi wanaletwa makusudi kwa ajili ya vitoweo...
 
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie


Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe









[url]https://soundcloud.com/newsaddict/serukamba?utm_source=soundcloud&utm_campaign=wtshare&utm_medium=Twitter&utm_content=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba[/URL]
Kweli kimtokacho mtu ndicho kilichoujaa moyo wake.
Queen Esther
 
Back
Top Bottom