napstericnade
New Member
- Mar 24, 2013
- 4
- 1
Wakati bunge likiendelea mchana wa leo mh. Peter Selukamba mbunge wa Kigoma mjini amewanyamazisha wabunge ya kambi ya upinzani kwa kusema maneno Cme on F**k you. Wakati ya hoja kuhusiana na hotuba ya Mh. Kaigi juu ya utawala bora, je hiyo ni sawa wana JF??
Souce: TBC
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Souce: TBC
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums