Baba Tunde
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 369
- 115
Nimeshandika hapa, Kiti cha spika ni dhaifu sana na kwa udhaifu huo, kinafanya bunge hovyo. Hopeless!!! Huyu bwana kwa kutoa tusi lile angetolewa nje -- ni tusi kubwa sana. Kwa kuwa hatua hazijachukuliwa, ni wazi kiti cha spika kinapendelea waziwazi. Looks like wabunge wa CCM wamepanic na hawajui wafanye nini, kwani muda kuelekea 2015 unakaribia.