Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Jamani bunge hili lenye wabunge hawa wa ccm nilakuangalia chumbani kwa siri kubwa watoto wetu wasifundishwe matusi.
Bunge hili la serikali ya ccm lina tofauti gani na program inayohitaji parental control??
Kwa nini wabunge wa ccm wameamua kutukana kila anayekosoa serikali??
Hii political immaturity inayoonyeshwa na na wabunge wa ccm haitoshi kuwakataa watawala hawa wahuni na wasio na maadili ya uongozi wa taifa hili???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums