Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,389
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Ushauri
Sikiliza AUDIO kwa kutembelea hapa:
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Ushauri
- Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
- Chief whip wa upinzani must act also
- Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
- Police must act on this
- Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
- Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
- Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
- anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
- Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
- 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe
Jamani sasa bunge liwe rated 18, nimemsikia serukamba bila chenga akisema "come on fu**k you'. Tunakwenda wapi. Hii sasa imevuka mipaka, wananchi tuwawajibishe watu kama hawa, wanatufunza nini.
Mh. Serukamba mbunge wa ccm wamewdiriki kuseme neno '---- YOU' akiwa anawakatisha wabunge waliokuwa wakiingilia maongezi yake alipokua akichangia hoja juu ya swala la kesi ya rwakatale kujadiliwa bungeni.
Tusi hili la kiingereza limesikika vema na pia nina uhakika mda sio mrefu tutapata video yake dunia ijionee jinsi viongozi wetu wa taifa wanavyotukana kwenye chombo muhimu kama bunge tena hii ameongea lugha ya kimataifa itaeleweka zaidi.
My take;
Wabunge wa ccm wamepanic wamekosa political tolerance wameanza kujivua nguo hadharani.
Sikiliza AUDIO kwa kutembelea hapa: