Mmh is she?Lazima tujifunze kuwa na ngozi ngumu.Neno huwa tusi kulingana na tafsiri yako.
JF........!
Hiyo ni baada ya mhe.Serukamba kusimama baada ya kuomba taarifa ambapo wabunge wa upinzani wakaanza kulalamika kwa spika Ndugai kuwa amempendelea kwa kumpa nafasi mara ya 2, amabpo kukamfanya Mhe.Peter serukamba wa kigoma mjini CCM kutamka neno "---- YOU" kwa jazba.
Alishaomba radhi nafikiri hii hoja ishapitwa na wakati sana haya mambo ya kufuta vitu vidogo tutakuwa kama watu wamitaani hiviSijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Ushauri
- Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
- Chief whip wa upinzani must act also
- Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
- Police must act on this
- Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
- Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
- Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
- anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
- Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
- 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe
Sikiliza AUDIO kwa kutembelea hapa:
Lazima tujifunze kuwa na ngozi ngumu.Neno huwa tusi kulingana na tafsiri yako.
Haki iko wapi!?
Tulia huyu au mwingine!?Hiyo ilitokewa wakati wa msimu wa kunyweshana juice, ajaribu sasa aone Tulia atafanya nini.
UKAWA mmefilisika Kinshasa.Mnataka kuleta kesi ya SERUKAMBA YA bunge la 2013 miaka mitatu iliyopita AJE TULIA NAIBU SPIKA AITOLEE MAAMUZI SASA?Labda sio tusi au double standards