BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

'UGONJWA' WA WABUNGE WETU DODOMA DAWA YAKE INAPATIKANA VYUO VIKUU NCHINI KABLA WAPIGA KURA HATUJAWAMWAGA NJE KWA 90% HAPO 2015 KWA KUGEUZA CHOMBO CHETU BAA NA KIJIWE PA KUPOTEZEA KODI ZETU

Kama kuna mtu aliweza kuwasikiliza vizuri Mhe Spika, Anna Makinda, pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe Abdulrahman Kinana (a.k.a Mzee wa Mi-Tembo) hivi karibuni basi utagundua ya kwamba kuna changamoto kubwa la NEGATIVE ATTITUDE AND TOTAL RESCENTMENT ambayo hivi sasa inaendelea kutafuna upande wa wabunge wa CCM dhidi ya wenzao wa CDM.

Wachambuzi wa maswala ya kisiasa nchini hivi sasa wanalo jukumu la kuweka wazi zaidi sababu zinazowafanya wabunge wa CCM (licha ya wingi wao bungeni) kuonekana wachache zaidi kuliko wale wa upinzani kwa kuzingatia vigezo vya ujengaji hoja bungeni na badala yake wengi wao kuingia kiulaini mtego wa wabunge wa upinzani wa kuwatibua nyongo kidogo tu na hatimaye kushindwa kufanya THE RIGHT THING pindi wawapo pale sebuleni Dodoma.

Kiujumla, Mama Makinda aliingia katika rekodi hapo jana pale alipowakumbusha wabunge wote kwamba VYAMA VINGI NA MIJADALA BUNGENI, kwa maoni yake heshimika, wala si funguo sahihi za kufungulia kitu UADUI wa Mtanzania kwa mwenzake eti kwa sababu tu wanatoka kambi tofauti.

Kama wazo hilo halikutosha vema hadi hapo juu, naye Mhe Kinana alisikika mwanzoni mwa wiki hii akiwatahadharisha wabunge wa CCM kwamba wasiingie kichaka KWA KUSHAWISHIKA KIITIKADI KUPUUZA KILA WAZO LINALOTOLEWA NA KAMBI YA UPINZANI bungeni. Naam, ni kweli kwamba ni jukumu la kikatiba kwa vyama vyote vya upinzani kukisaidia chama tawala 'WAZO MBADALA' wa kutenda jambo kwa faida ya WaTanzania wote kwa ujumla wetu.

Mpaka hapo, ni wazi kwamba hawa viongozi waandamizi wawili katika serikali ya CCM wanatuambia kwamba bungeni Dodoma kuna changamoto kubwa la 'PRE-CONCEPTIONS, ADULTARATED PERCEPTION AND HISTORICAL PARTY STEREO-TYPING, CHRONISM AND PEROCHIALISM' - Universities of DSM, Dodoma, Tumaini, SAUT; your timely and most expertly intervention can never be underscored any better here to rescue our sinking legislative assembly in Dodoma.


Hata ufanye yote hayo haisaidii kitu aisee. Wabunge wa CCM wanajisikia sana, wanaona kama wako juu ya kila kitu na hizo dharau ndio zinasababishwa wawatukane wenzao matusi ya nguoni kwa kuwa wanajua hawatafanywa kitu chochote
 
Inabidi kujifunza lugha nyingi ili ukitukana Supika anapotezea kwa sababu sio kiswahili!! Si unajua luninga zinaonyesha na kiswahili watasikia wengi!!
 
Kumbe bunge ni legelege kiasi hiki! maana ingekuwa ni jf angepigwa ban, kwanini spika asimpige ban?
 
Huyu angalau naona ana busara sana kulko kna nape na nkamia kaomba radhi na kafuta kauli....safi serukamaba
 
Hahahahahahaha................naona vijana wa mdimu wapo wengi sana apao chin i mmelipwa kwa dola kama kwenye uchaguz wa uvccm dom au...mwambien mdimu afute ile kauli yake ya kupga wanasiasa 9 na waandshi wawili wa habar
 
Naona vijana wa mdimu wapo wengi sana apo chin i mmelipwa kwa dola kama kwenye uchaguz wa uvccm dom au...mwambien JOKA LA MDMU afute ile kauli yake ya kupga wanasiasa 9 na waandshi wawili wa habar....
 
Serukamba amechanganyikiwa kwani alikuwa anaulilia uwaziri sasa kuukosa plus pressure za wapinzani kaamua kutukana ili kutuliza mzuka wake.
 
Tena kabisa leo asubuhi namsikia Naibu spika akihojiwa na Redio One Kumepambazuka kuhusu adhabu kwa mbunge atakaye toa lugha za matusi bungeni akawa anarudiarudia kuwa atatolewa nje na polisi sasa napata shida kuamini kama huyo alikuwa mbunge au mgeni mwalikwa
Hahahaaaaa mkuu hii funika kombe,.wanatuchukulia poa sana hawa magamba
 
Mods naona unatoa post...serukamba ameonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kufuta kauli bado mdmu,nkamia, na wenzao
 
binafsi nilikuwa namheshimu sana lakini kuanzia leo naona bado hajakuwa kiakili,probably he is mentally retarded
 
kibugumo...kutokana na wizara nyingi kwa sasa kuchemka serukamba naona nafasi yake ya mwkt wa kamati ya miundombinu anaifanya vzuri nliona akiwabana mawazri huska kuhusu ishu za barabara na bandari na inamuweka pazur zaid na wananchi
 
Back
Top Bottom