Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Busara za kuteka washindani wake jimboni ili apite bila kupingwa?Yaani hakika nimefurahi mno. Majaliwa ni best PM. Ana busara nyingi, mnyenyekevu na mtendaji.
Hongera sana Mh. Rais kwa kumuamini tena Mh. Majaliwa.
Kama una-fact, iweke mezani; kama ni hisia za ndoto tu ulizokurupushwa nazo leo kitandani, zirudishe hukohuko "uvingini" mwako, sawa?Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Duu hivi aliteka kumbe? Sina story vizuri hebu shirikisha. Na kama ni kweli huenda ilifanyika purposely na mamlaka ili asifanye kampeni za Ubunge bali asaidie za mamlaka kubwa kama alivyokuwa anafanya. Ila mbona angeshinda tu ubunge bila hata kampeni? Haikuwa na haja ya kuteka kama ni Kweli. Maana CCM 2020 walishinda wote kama ilivyokuwa imepangwa!!!!!Busara za kuteka washindani wake jimboni ili apite bila kupingwa?
Yaani hawa hata wakisema waendeshe nchi wenyewe it is possible!!!
Mhhh. Ina maana gani? Serikali itavunjwa ? Maana asipokuwepo serikali inavunjwa? Au atajiuzuli agombee urais? Ngoja tusubirie.Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Alitumwa Mbeya akatingishe kwa kufanya cinema eti akiahidiwa kuwa chama Kikuu cha upinzani!!!!!. Yaani ndiyo maana ngoja niendelee tu kuwa mpiga kura.Hivi mbatia kumbe alikosa ubunge?,,siku anajishughulisha na kitu gani asee?
Huyo kaamshwa leo mapema, siyo kosa lakeMhhh. Ina maana gani? Serikali itavunjwa ? Maana asipokuwepo serikali inavunjwa? Au atajiuzuli agombee urais? Ngoja tusubirie.
Hahahahaha nimesikia makamba anampa sifa eti alipata kura nyingi rwangwa yaaani hawa watu wamechanganyikiwa sijui walipigiwa kura na nani?Majaliwa anaingia kwenye historia ya Tanzania ya kuwa waziri mkuu wa kwanza aliyepata uwaziri mkuu bila ya kuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi moja kwa moja. (Majaliwa ni mbunge wa kuteuliwa na NEC!)
Ni aibu kubwa.
Hatomaliza kwa Sababu zipi komredi?tujuze tafadhali..Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Majaliwa hana uzuri wowote. Kunachomdaidia ni unafiki. Tendo lile la kumteka mpinzani wake ili asirudishe fomu ulikuwa ni uwendawazimu wa hali ya juu, na ulidhihirisha ni mtu wa namna gani!!Duu hivi aliteka kumbe? Sina story vizuri hebu shirikisha. Na kama ni kweli huenda ilifanyika purposely na mamlaka ili asifanye kampeni za Ubunge bali asaidie za mamlaka kubwa kama alivyokuwa anafanya. Ila mbona angeshinda tu ubunge bila hata kampeni? Haikuwa na haja ya kuteka kama ni Kweli. Maana CCM 2020 walishinda wote kama ilivyokuwa imepangwa!!!!!
Ana press conference leo saa sita mchana msikikizeHivi mbatia kumbe alikosa ubunge?,,siku anajishughulisha na kitu gani asee?
Kama mlijua ilikua imepangwa kuwa CCM itashinda uchaguzi, kwann hamkususia kufanya kampeini za uchaguzi? Na kwann mlijihusisha na upigaji wa kura na kubaki kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura mkilinda kura zenu zisiibiwe, ilihali mkijua tayari kuna mshindi ?Maana CCM 2020 walishinda wote kama ilivyokuwa imepangwa!!!!!
Hii ni 3 bora katika uharamia. Uongozi bora wa maharamia wa demokrasia ni kilio cha watu wema wapenda demokrasia na haki.Tatu bora kabisa 2020 - 2025
Wacha kazi iendelee[emoji120]
View attachment 1624681
Mungu ibariki Tanzania