The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mbona hata Pinda alikuwa Waziri Mkuu baada ya kupita bila kupingwa.Majaliwa anaingia kwenye historia ya Tanzania ya kuwa waziri mkuu wa kwanza aliyepata uwaziri mkuu bila ya kuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi moja kwa moja. (Majaliwa ni mbunge wa kuteuliwa na NEC!)
Ni aibu kubwa.
Urais amempa nani? nani kamchagua?Rais John Magufuli
Ana busara za kuwasaliti wanakusini kuhusu mazao yao?Yaani hakika nimefurahi mno. Majaliwa ni best PM. Ana busara nyingi, mnyenyekevu na mtendaji.
Hongera sana Mh. Rais kwa kumuamini tena Mh. Majaliwa.
Pengine anajua hiyo siri huyo mshika mafaili wa lumumba, wewe si upo magetini pale... u never know!Kama una-fact, iweke mezani; kama ni hisia za ndoto tu ulizokurupushwa nazo leo kitandani, zirudishe hukohuko "uvingini" mwako, sawa?
Hawezi kupewa wizara yoyote huyo ana skendo mbovuGwajima anaenda kupewa wizara gani?
Duu aisee. Sikuwa nalijua hilo maana hizi Siasa sitilii maanani sana. Basi nafuta sifa zote nilizompa hastahili. SadMajaliwa hana uzuri wowote. Kunachomdaidia ni unafiki. Tendo lile la kumteka mpinzani wake ili asirudishe fomu ulikuwa ni uwendawazimu wa hali ya juu, na ulidhihirisha ni mtu wa namna gani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ushetani wa CCM ungejulikana vipi kama wasingeshiriki?Kama mlijua ilikua imepangwa kuwa CCM itashinda uchaguzi, kwann hamkususia kufanya kampeini za uchaguzi? Na kwann mlijihusisha na upigaji wa kura na kubaki kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura mkilinda kura zenu zisiibiwe, ilihali mkijua tayari kuna mshindi ?
Kifupi, kulikuwa na haja gani ya nyie Chadema kujihusisha na harakati za uchaguzi wakati mlijua tayari CCM imepangwa kushinda??
Sorry bud. Mimi siyo Chadema. Get to know this. Hiyo ilijulikana tulisikia kwenye media kama walivyosikia wengine. Hivi mfano inawezekanaje mgombea akapata kura 179 na mpinzani wake kura 31 halafu anakuja mtu asuyejulikana anabandika matokeo anageuza 31 kuwa 370 na 179 kuwa kura 6?Kama mlijua ilikua imepangwa kuwa CCM itashinda uchaguzi, kwann hamkususia kufanya kampeini za uchaguzi? Na kwann mlijihusisha na upigaji wa kura na kubaki kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura mkilinda kura zenu zisiibiwe, ilihali mkijua tayari kuna mshindi ?
Kifupi, kulikuwa na haja gani ya nyie Chadema kujihusisha na harakati za uchaguzi wakati mlijua tayari CCM imepangwa kushinda??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shamba la bwana heri
Mifugo ya bwana heri
Watoto wa bwana heri
Mali na vyote ni haki ya bwana heri
Jiwe mwenyewe hamalizi tano.Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Ile anapewa MwanaFA! Huyu akalelee mtoto wa Baba wa sheria!Vipi na wewe utarudi kwenye unaibu?