Nisamehewe Mkuu. Kumbe mpaka Moshi uliwaka kule. Unajua ndiyo ubongo wangu umechukua frequency. Wanasema"Si kila king'aacho ni Dhahabu"Ana busara za kuwasaliti wanakusini kuhusu mazao yao?
Au unazungumzia busara za kupita bila kupingwa?
Itafaa sana ikiwa hivyo ila itafaa zaidi kama badala yake atateuliwa na Mama Samia Suluhu huenda akaletwa mchapakazi mzuri siyo muunga mkono juhudi kama huyu. Aliyemteua huyu ni msema kweli Mungu atampenda zaidi kabla ya miaka 5!Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Alinukuliwa akisema aliowateu awamu ya kwanza wasiwe na wasiwasi kama amemaliza nao salama hofu ya nini..? na wengine akidai wanamtumia hadi msg wakisema mheshimiwa usinisahau nimefanya kazi kwleikweli..!Ilikuwa hakuna namna ya Majaliwa kutoendelea kuwa PM
Panga pangua kubwa inakuja kwa mawaziri, kuna sura mpya zitakuja especially kwa zile wizara nyeti...
Basi mpe yote bibie!!Nampenda Majaliwa
Wewe hata vetting committee haupo sijui ramli ya wapi hii.?Majaliwa anafaa sana, though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Kwa nini? Em tutonye mkuuhatamaliza miaka 5.
Alitumwa Mbeya akatingishe kwa kufanya cinema eti akiahidiwa kuwa chama Kikuu cha upinzani!!!!!. Yaani ndiyo maana ngoja niendelee tu kuwa mpiga kura.
Na litateuliwa hili haramu. Kule kwao alikataliwa vibaya na hatakaa akubalike tena.Amekaa kimya
Anasubiri ubunge wa special seat.
Kwani wapo wasafi humo?!Hawezi kupewa wizara yoyote huyo ana skendo mbovu
Hivi neno ‘komrade’ unaruhusiwa kutumia kwa huyu kweli? Anajiita ‘Jane Lowasa’!Hatomaliza kwa Sababu zipi komredi?tujuze tafadhali..
[emoji2][emoji2]Basi mpe yote bibie!!
Hapo kuna majina mawili...Hivi neno ‘komrade’ unaruhusiwa kutumia kwa huyu kweli? Anajiita ‘Jane Lowasa’!
Majaliwa....., though hatamaliza miaka 5. Mark these words of mine.
Duuh! Wamesomewa KiSOMO gani mkuu.. au ndo ALBADIRi ?!!!Jiwe mwenyewe hamalizi tano.
Yajayo,yanafurahisha.Duuh! Wamesomewa KiSOMO gani mkuu.. au ndo ALBADIRi ?!!!
UGUMU wake nini? Mbona tunaambiwa jiwe amepeleka jina, likatajwa, wote wakashangilia, woote wakaunga mkono!Mchakakato wa kumpata waziri mkuu ulikuwa mgumu Sana.tunashukuru tumemaliza salama.