Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Nina uhakika wa asilimia mia kuwa, yule aliyefanya vituko vya sarakasi, angekuwa ni kutoka chama tofauti na CCM, angetolewa nje na polisi. Na pia, angeweza kutupwa nje ya bunge hata zaidi ya mwaka, na bado angepelekwa kwenye kamati ya maadili!Ccm Hii Imeoza Sana Waliofanya Vituko Wachukuliwe Hatua Haraka
Sawasawa..Safi sana, bungeni sio sehemu ya kufanya mambo ya kipuuzipuuzi.
Bunge Live... Kila mmoja anatafuta namna ya kuonekana kwa wanachi wake.
Bunge ni sehemu Muhimu ya kujadili mambo Muhimu..
Huyu atakuwa mvuta ndumu mzuri. Aliibukia bungeni. Wewe sasa. Si ajabu ndio umetoka Kisongo!Tulivuta naye sana ndumu kwenye 2007 wakati tunaenda kufanya mazoezi ya sarakasi kwenye kijiwe chao,alikuwa kiongozi wa hilo kundi la sarakasi ,ngoma ,judo na karate kuna vijana wake kama kina Ally na D2 walikuwa vizuri sana ila hapo ndumu ni 24hrs ,zoezi,ndumu ,ugali.
Inawezekana hapo ashaivuta kwenye toilet za bunge.